wakulichomeka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 517
- 142
Kuna kituo kimoja cha redio kinaitwa Uhuru Fm kituo hiki nilikua nakifatilia matangazo yake huko nyuma.
Ila kwasasa kimeanza kunishangaza kinaonekana kupendelea sana chama tawala na kuuponda sana UKAWA tofauti na vituo vingine.