Kituo cha mabasi Mwenge kuhamia Makumbusho

Kim Jo Ngil

Member
Jan 3, 2014
45
17
Kuanzia tarehe 2 kituo cha Mwenge kufungwa na mabasi yote sasa kuishia Makumbusho.

attachment.php
 

Attachments

  • Screenshot_2014-05-28-20-37-07.png
    Screenshot_2014-05-28-20-37-07.png
    109.2 KB · Views: 512
Kiliwahi kuhamishiwa huko baadae kikarejeshwa, hata daladala nyingine zimeandikwa mwisho makumbusho ila hazijawahi kukanyaga huko, hii serikali yetu ina mipango ya kipwagu sana
 
Sijui . I am not know truly. Where we go now ? It bodaboda no go town. bajaj end is Mwenge. Ubungo. Buguruni not wanted middle city. Daladala not go Mwenge. The leader want small people to suffer. Tomorow leader it say not sleep with wife. and people it will agree.
 
sijui . I am not know truly. Where we go now ? It bodaboda no go town. Bajaj end is mwenge. Ubungo. Buguruni not wanted middle city. Daladala not go mwenge. The leader want small people to suffer. Tomorow leader it say not sleep with wife. And people it will agree.

com 100
 
Makumbusho palivyo pafinyu hizo daladala zitatosha??? Mwenge pamoja na kuwa kubwa kuliko Makumbusho bado kuna kuwa na msongamano mkubwa tuu!!!!
 
Wahenga walisema ANAEJIPIGA HALII. ccm wanajipiga wenyewe. wanatupa ujumbe gani wakifanya kila baya dhidi yetu ???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom