Kituo cha kuhesabia kura ni Lazima

Kituo cha kuhesabia kura ni Lazima

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,992
Reaction score
12,036
Hiki kitasaidia kuzuia wizi wa kura,Lazima kiwe na uwakilishi wa kila Upande chama ulioshiriki uchaguzi.

#TumainiMakene fikisheni UKAWA hili wazo la kituo kimoja huru cha kuhesabia kura vinginevyo mkiiachia NEC subirini maumivu. Piganieni zoezi la uhesabuji Kura liwe la wazi.
Tafadhali sana we want a fair election with no or few gists of rigging.

Sambaza hashtag hii #Kituochakuhesabiakuralazima .
#Nationaltallyingcenteramust .
 
Tafadhali sana we want a fair election with no or few gists of rigging
 
Hiki kitasaidia kuzuia wizi wa kura,Lazima kiwe na uwakilishi wa kila Upande chama ulioshiriki uchaguzi.

#TumainiMakene fikisheni UKAWA hili wazo la kituo kimoja huru cha kuhesabia kura vinginevyo mkiiachia NEC subirini maumivu. Piganieni zoezi la uhesabuji Kura liwe la wazi.
Tafadhali sana we want a fair election with no or few gists of rigging.

Sambaza hashtag hii #Kituochakuhesabiakuralazima .
#Nationaltallyingcenteramust .

Na yeye atajisifu eti kapost mada. JF sasa naona imeanza kuvamiwa na wale vijana wa Bavicha wa kule Facebook.
 
Hiki kitasaidia kuzuia wizi wa kura,Lazima kiwe na uwakilishi wa kila Upande chama ulioshiriki uchaguzi.

#TumainiMakene fikisheni UKAWA hili wazo la kituo kimoja huru cha kuhesabia kura vinginevyo mkiiachia NEC subirini maumivu. Piganieni zoezi la uhesabuji Kura liwe la wazi.
Tafadhali sana we want a fair election with no or few gists of rigging.

Sambaza hashtag hii #Kituochakuhesabiakuralazima .
#Nationaltallyingcenteramust .

Wahusika tafadhali husikeni ili mianya yote ya kuweza kuiba kura izibwe kwa kadri iwezekanavyo
 
Back
Top Bottom