Habari wana JF,
nipo katika research nataka kuanzisha kituo cha kuendeleza elimu hasa katika masomo yanayowasumbua sana wanafunzi shule za msingi na sekondari.
Naombeni michango yenu ya mawazo katika hii project. Ni tofauti kidogo na tuition kwani nataraji kukisajili kisheria na mfumo wa ufundishaji ni mwalim kumuelekeza mwanafunzi mmoja mmoja na kumpatia maswali mengi ya kufanya.
Mwalim atatumika kwa 25% na 75% ya kazi zitafanywa na mwanafunzi.
naombeni michango yenu katika hili.
asant.