Kituo cha Elimu maalumu

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
849
Reaction score
876
Wakuu kuna ndugu yangu anaulizia kituo cha kufundisha watoto hawa wenye matatizo ya kusikia na kuongea cha private hapa Dar aul bara
 
Pale buguruni vipi?? Pana shule ya namna hiyo
Wakuu kuna ndugu yangu anaulizia kituo cha kufundisha watoto hawa wenye matatizo ya kusikia na kuongea cha private hapa Dar aul bara

Vrou van samaria give me bit of water to drink
 
Mkuu cha buguruni nakijua Ila ni cha serekali nilihitaji cha private ambacho ni cha boarding mkuu
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…