Ni bora iwe hivyo mkuu, kuna siku nlikua nasaka gari za mbagala nilizunguka kweli. Vituo havieleweki kabisa kila magari yapo ipande wake tofauti kabisaa .Kituo cha gerezani bado hakijakamilika nahisi mpaka mwakani kitaanza kufanya kazi,pia kumbuka kuwa hicho kituo kitafunguliwa Rasmi baada ya route ya mbagala ya BRT kukamilika...
Ni suala la muda Tu kilakitu kitaenda poa na hayo Mabus yote yanayopaki hovyo mitaa ya Kariakoo yatahamia kituo kikuu cha gerezani
Hahahaha ππNi bora iwe hivyo mkuu, kuna siku nlikua nasaka gari za mbagala nilizunguka kweli. Vituo havieleweki kabisa kila magari yapo ipande wake tofauti kabisaa .
ππ Acha kabisa mkuu ni shidaHahahaha ππ
Hizo gari za mbagala ndiyo Pasua kichwa kabisaaa!!!!
Gerezani yakalale sehemu gani pale?Habari zenu Ndugu.
naomba ufafanuzi kidogo maana kuna jambo linasababisha kero na foleni kubwa ndani ya kariakoo.
hivi haya madaladala yenye route kama masaki---gerezani kwanini yanaishia kariakoo na hayafiki kabisa gerezani?
je kuna mpango wa kuyahamishia kituo cha gerezani?
kituo hicho kipo tayari?
ikifika jioni ndio wanayalaza kariakoo tena wanafunga na mitaa kabisa. inakuaje wanaachiwa wafanye wanavyotaka?
naombeni ufafanuzi kidogo wana JF maana hali ishakuwa tete mitaa ya huku.
weekend njema.
Ni bora yakae/ yalale sehemu yaliyotengewa kuliko kuzagaa mitaani. Ni wazo tu mkuu.Gerezani yakalale sehemu gani pale?
Hii uhakika?? aisee itakuwa poa sana. Na pia serikali itaweza kukusanya mapato kwa anaetaka kulaza gari lake. (Kwa services kama usalama na ulinzi wa hayo magari)Kituo cha gerezani bado hakijakamilika nahisi mpaka mwakani kitaanza kufanya kazi,pia kumbuka kuwa hicho kituo kitafunguliwa Rasmi baada ya route ya mbagala ya BRT kukamilika...
Ni suala la muda Tu kilakitu kitaenda poa na hayo Mabus yote yanayopaki hovyo mitaa ya Kariakoo yatahamia kituo kikuu cha gerezani