Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,092
- 34,904
Mkuu Edwin mkw Laiti ungelijuwa faida zipatikanazo kwa kula Kitunguu saumu kila siku basi usingeliacha japo kula punje moja ya Kitunguu Saumu. Kwa mfano ukitaka wewe usiumwe kila siku kula punje moja ya kitunguu saumu asubuhi kabla ya kula kitu kitakukinga hicho kitunguu saumu mpaka jionikumbe kitunguu swaumu kna faida xana
Ahsante kwa elimu.
Na huyo Mja mzito atakaye tumia dawa pasipo na kumuuliza Daktari atakuwa hana akili huyo. Wewe una mimba kisha ule dawa pasipo na kuuliza kwa Daktari utakuwa kweli unayo akili? ukiweza tembelea Blog yangu bonyeza hapa.Mzizi MkavuAsante Dokta Mzizi.Angalizo kwa wajawazito usitumie mpaka upate ushauri wa Daktari wako wa uzazi
Mkuu kam upo Mjini dar nenda Sokoni kariakoo ukaulize utapata hizo mbegu za vitunguu Saumu.Mbegu za kitunguu saaumu.zinapatikana wapi?
Mzizimkavu tupe na tangawizi tujue faida zake.
Na huyo Mja mzito atakaye tumia dawa pasipo na kumuuliza Daktari atakuwa hana akili huyo. Wewe una mimba kisha ule dawa pasipo na kuuliza kwa Daktari utakuwa kweli unayo akili? ukiweza tembelea Blog yangu bonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Asante Dokta Mzizi.Angalizo kwa wajawazito usitumie mpaka upate ushauri wa Daktari wako wa uzazi
Asante Dokta
Mzizi.Angalizo kwa wajawazito usitumie mpaka upate ushauri wa Daktari
wako wa uzazi
Dawa zangu nyingi mimi ninazo zitowa ni vyakula havina Madhara kwa binadamu na wala sio sumu. Tofauti na Ma-Dawa ya Ma-Hospitali mengi ya Madawa ya Hospitalini yana sumuKaka yangu we acha tu.Huku bongo ni bora liende.Ni Mungu tu anatulinda.Mara nyingi tunatumia madawa bila ushauri wa dokta au kupimwa.Elimu ya afya wengi hawajui.Vitu vingi tunafanya kimakosa bila utaratibu na matokeo yake vinageuka sumu
wazungu huwa wanasema what are you trying to insinuate? haha haaa..
ila ni vyema kukumbushana aisee!
Kwani wewe shida yako unataka kutengeneza kitu gani? mkuu Deo Corleone?Kwa hiyo ukichanganya tangawizi+mdalasini+asali na kitunguu swaumu unapata nini?
Mkuu Zion Daughter Mbona unaleta maneno ya mkuu.@kukucd Kwenye Thread yangu hii? bado hayaja kwisha tu? usilete umbea huku tafadhali mkuu.Kuna mdada yamemkuta ya kumkuta jana anaitwa kukucd .Ametoa thread hapa jukwaani.Japo kuna mambo mengine yanaweza kuchangia lakini tuwezayo kuepuka tuyaepuke.
Dawa zangu nyingi mimi ninazo zitowa ni vyakula havina Madhara kwa binadamu na wala sio sumu. Tofauti na Ma-Dawa ya Ma-Hospitali mengi ya Madawa ya Hospitalini yana sumu
yanatibu na kukuletea madhara mengine, Side effect Dawa zangu inategemea na ugonjwa wako jinsi ulivyo na ukifuata Ushauri wangu unaweza kupona na usidhurike na inabidi kabla ya kutumia ulize maswali ndio maana tumeweka hapa Hii FORUM
JAMII FORUMS. Kwa kila mtu anaye matatizo aje kuuliza Swali lake na atajibiwa ipasavyo. Sio kuona dawa nimeweka wewe ukaanza kutumia pasipo na kuuliza Maswali ukija kudhuruka shauri yako Zion Daughter