kitunguu nilicholima sasa kipo tayari

wadau

niliamu akuuchukua uashaur wenu wa dhati kbs kwa vitendo na leo nawasilisha nilipofikia na changamoto nilizokutana nazo..

nilianza mchakato kwa kwenda Ruaha Mbuyuni mwaka jana october.Sikua na niliemfahamu kule.Nilifanikiwa kufanya mazungumzo na watu kama watatu niliokutana nao pale na bahat mmojawapo alikua tayar kuambatana na mimi kucheki mashamba.Nikalipia heka moja laki 3 ya msimu utakaoanza January yamwaka huu...Kulipia mapema ni muhimu.

Nilianza mchakato mwingine wa mbegu.Nikanunua mbegu.Ikahifadhiwa.Ikaoteshwa january.

Mbegu ilihitaji uangaliz wa karibu ikiwemo kunyeshea na kung'olea..bahat mbaya niliyemweka hakuwa siriaz.Mbegu ikajaa majani.haikufaa tena....nikapoteza laki 4

nikaumiza kichwa nikatafuta mbegu za haraka ambazo zimeishakuota.Nikapata.Nikalima.Nikaandaa majaluba.Nikaotesha.

KIjana niliyemweka hakua siriaz sana.akanitia majangani.

Sasa kitunguu kinaendelea vema na ninatarajia kukivuna mwezi ujao mapema sana............

wadau mliopo hapa nipeni bei za sokoni nimefanya research Buguruni gunia ni kama 120,000...au kama tunaweza fanya biashara niPM..mzigo upo shambani pale ruaha mjini kbs pembeni y amto

natarajia magunia kati ya 30 na 40......kwa hekari,kadirio la chini
Bei ya Kitunguu inategemea na msimu, subiri ukivuna ndo usikilizie. Masoko makubwa ni Dar, Zanzibar an Comoro. Ukija ukikuta soko limenuka, we chukua mzigo Ruaha kama uko vizuri ulete uuuhifadhi sehemu kama unachumba, kitunguu kianhitaji hewa. Nikupe siri, niliwahi kufanya hii, soko likibuma we pita wka wamagenge cheki wananunua kiasi gani halafu wasambazie kwa bei unayoona inalipa, wakijua ulipo wanakuja kuchukua mzigo wenyewe utauza kwa vindoo au kilo mpaka ushangae na inalipa sana kuliko gunia zima. Ila shida ni nafasi na yenye hewa visioze.

EPUKA MADALALI! WANAJUA KUSHAWISHI MBAYA ILA UTALA!
 
wadau

niliamu akuuchukua uashaur wenu wa dhati kbs kwa vitendo na leo nawasilisha nilipofikia na changamoto nilizokutana nazo..

nilianza mchakato kwa kwenda Ruaha Mbuyuni mwaka jana october.Sikua na niliemfahamu kule.Nilifanikiwa kufanya mazungumzo na watu kama watatu niliokutana nao pale na bahat mmojawapo alikua tayar kuambatana na mimi kucheki mashamba.Nikalipia heka moja laki 3 ya msimu utakaoanza January yamwaka huu...Kulipia mapema ni muhimu.

Nilianza mchakato mwingine wa mbegu.Nikanunua mbegu.Ikahifadhiwa.Ikaoteshwa january.

Mbegu ilihitaji uangaliz wa karibu ikiwemo kunyeshea na kung'olea..bahat mbaya niliyemweka hakuwa siriaz.Mbegu ikajaa majani.haikufaa tena....nikapoteza laki 4

nikaumiza kichwa nikatafuta mbegu za haraka ambazo zimeishakuota.Nikapata.Nikalima.Nikaandaa majaluba.Nikaotesha.

KIjana niliyemweka hakua siriaz sana.akanitia majangani.

Sasa kitunguu kinaendelea vema na ninatarajia kukivuna mwezi ujao mapema sana............

wadau mliopo hapa nipeni bei za sokoni nimefanya research Buguruni gunia ni kama 120,000...au kama tunaweza fanya biashara niPM..mzigo upo shambani pale ruaha mjini kbs pembeni y amto

natarajia magunia kati ya 30 na 40......kwa hekari,kadirio la chini

Mimi natoa changu by june mwishon nipo hapa hapa ruaha mbuyun mkuu unaonaje kukafahamiana tupeane changamoto ya soko
 
Nami natarajia kufanya kilimo Cha kitunguu Mungu akipenda mwaka huu. Naomba Msaada namna ya kupata shamba maeneo ya ruaha mbuyuni na pia hatua Za kufuata kuhakikisha sipati hasara
 
mkuu ww ni mjasiriamali kweli?kwamba unatarajia kulima tena mwaka huu?wapi labda?maana kwa ruaha msimu ndo unapita...anyway...msaada unaouhitaji km kweli upo siriaz ni vyema ungetembelea maeneo husika ukajionea hali halisi........nasema hivyo maana conditions zimetofautiana...za ruaha sio lazima ziwe sawa na za singida
 
Mkuu samahani naomba unieleweshe kitu inakuwaje Ruaha kuna kuwa na Msimu wakati wana maji ya kumwagilia? Kilimo cha kumwagilia nacho kina msimu?
 
Kuanzia july kuendelea wadudu weng na bei iko chini ndio maana ya msimu
 
kuongeza baadhi ya mimea photoperidioc ie sensitive to daylight hours and this varies with season. Hivo kuna short day, long day and day neutral plants.
 
Kwa hiyo kitunguu kipo upande gani? Short au long? Wazee wa SUA njooni hapa mtowe darsa. Thanks
 
Mtoa mada nakupongeza kwa hatua. Kwa haraka haraka unazo kama 5M. Congrats and keep it up.
 
Mkonowapaka umekua kimya mkuu nliku PM namba yangu mi tayar nshavuna na kuuza
 
Back
Top Bottom