Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,022
- Thread starter
-
- #21
Mimi mawazo yangu yote .....chakula elfu 10 jumla na juisi nikadhani 4 jumlaView attachment 2519302
Jinsi muhudumu alivyomuangalia jamaa yetu aliposikia ana 24k badala 58k anazohitaji[emoji23][emoji23][emoji23].
Hotel ukiishaikuta ina watasha,itisha juice kwanza ili upime kina cha maji,halafu jenga tabia ya kutimba peke yako sehemu kama hizo kwanza kabla upeleke mtoto wa mtu.
Iliisha kistaarabu tu uzuri..nilikuja kusongesha kama 30 na demu wangu ikabidi nimkope hela kama elfu 10.Nahisi wazungu walikucheka sana... Vipi ulikutwa na nini kijana? Lakini kwenye vikao tulikwisha kuongelea haya mambo ya outings na wanawake bila kujihami na backup ya ku cover extra costs za nje ya budjet au ulidoji kikao?
Yule mwanamke wa kichaga alikuwa anapenda sana hela kinyama ....Wangenunua mchele, kuku mzima na matunda ya kutosha ya juisi na maji ya kunywa. Baada ya kushiba ni kuchakatana tu [emoji3][emoji3][emoji3] na hamna gharama za gesti
Wali sato unamjuwUswazi ipi boss...
Kwa chipsi kuku za elfu 5 au kuns kingine una maanisha.
Kwanini mkuuKuna watu huwa mnajichanganya vizuri.
Hotel mkuu unaenda na 24k Seriously???Kwanini mkuu
Bora ulivyomuacha hana akiliYule mwanamke wa kichaga alikuwa anapenda sana hela kinyama ....
Nina allergy na wanawake wa kichaga shepu hawana jla wanaringa na wanapenda hela kinyama.Bora ulivyomuacha hana akili
Nmemaliza tayari mkuuSasa kamw husemi kilichokukuta tutasemaje yaliyotukuta?