hawa jamaa wameamua kuanza kuonyesha movie(maigizo) yao kwenye tv then ndo dvd mtaani.kwenye comments JB anadanganya eti watu wa Tv(SIBUKA)wamesharudisha gharama za movie kwa kuwalipa..kwendraaa wale sibuka wasiolipa mshahara wafanyakazi wwape milioni 30 kurusha mara mbili,ni sponsor gani huyo katoa hiyo,kadanganyaneni huko na kina le mutuz
Jacob Stephen September 23 at 10:33am · Instagram ·
Filamu hii itaonyeshwa leo kwa mara ya kwanza...sibuka Tv..channel 111 kupitia startimes..saa3 kamili usiku...kisha itakuwa madukani jumatatu..26..09..2016..
Karim Maulid Sasa wakishaiona watainunuaje mkuu,soko la bongo movie limekufa c kutokana na kifo cha kanumba bali ni kutoka anologia kwenda digital hv vingamuz vna tamthilia nying za kumuweka mtu bize mpaka ana mda wa kununua bongo movie maana ata zingne bongo movie...See More
Like · Reply · 1 · September 23 at 11:02am
Jacob StephenKarim Maulid ni vema uulize kwanza...mambo ni kidigital kama unavyosema..unadhani wanaweza kuonyesha bila makubaliano na mpunga mwingi kuingizwa...tayari wameshalipa karibu hela yote ya mauzo ya dvd..na itaonyweshwa leo..kesho na kesho kutwa.uuzaji wa svd ni nyongeza Like · Reply · 2 · September 23 at 11:17am
Karim Maulid Pesa mnaolipwa na hao inaenda sawa kama mngeuza cd kwanza, kama huo ni mfumo mpya wa step je hawa wachanga ambao majina yao ni madogo watanufaika kweli na huo mfumo. Me ni mpenzi tu wa filamu za kibongo usinifikilie vbaya napenda wasanii wa bongo movie nao atleast waish kama wa muzik Like · Reply · September 23 at 11:32am
Karim Maulid Atleast siku moja ila siku tatu czan ata kama itakuwa nzur soko la dvd halitakuwa nzur.cjui me cjaelewa vzr maana naona kama pande moja inafaidika sana Like · Reply · September 23 at 12:13pm