Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Hahahaah asante mtaniMtani hongereni kwa ushindi hili la hiace sitalijadili
Hahahaah asante mtaniMtani hongereni kwa ushindi hili la hiace sitalijadili
una uhakika na unachokinena?Mbona Mikia fc walikodi Coastar from DSM to Songea!
wewe ndio umeongea ukweli mmmoja anasema ati walitoka na daladala darMateso kwa zamu. Simba msimu uliopita walikodi daladala hiace pia kwenda uwanjani majimaji songea