kitufe cha...Wrap[PHP] tags cha JF

tovuti

Senior Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
160
Reaction score
12
Naomba kufahamishwa hicho kitufe hapo juu kiko unapoandika ujumbe jf, kina kazi gani na kinatumikaje?
 
Kitufe cha PHP [wrap] kinatumika kwa wale ambao wana deal na programming/coding kwa lugha ya PHP. The main reason ya kutumia hii feature ni kwamba kwenye PHP kuna lines za code ambazo ni muhimu kama mtu unataka maelekezo kuhusu tatizo. Mfano ninaweza nikaja na tatizo kama hivi:-

Wakuu, nina tatizo kwamba script yangu inaniletea error ya enexpected $end kwenye line 10, Nifanyeje? Nimekosea wapi?

Nawasilisha

Itabidi niweke codes hapa ili wataalamu waiangalie then watoe solution. Codes zangu nitaziweka hizi ;


<?php
$uname = ($_POST['username']);
$pwd = ($_POST['nenosiri'])
if ($uname != 'Invisible'){
echo "You will be logged in, but not as Administrator";
}
else {
echo "Welcome Invisible"
}
?>

Sasa kwenye code kama hiyo mtu yoyote anayejua PHP anaweza kukusaidia. Lakini inahitaji extra effort kusaidiwa na code haieleweki vizuri. Huo mstari wa 10 unaweza hata usionekane! Na hapo ndipo kitufe cha PHP [wrap] kinapotumika: kuonesha numbers na PHP syntaxes. Sasa nikitumia hicho kitufe code inaonekana hivi:-

PHP:
<?php
$uname = ($_POST['username']);
 $pwd = ($_POST['nenosiri']) 
if ($uname != 'Invisible'){
echo "You will be logged in, but not as Administrator";
}
else {
echo "Welcome Invisible"
}
?>

Hapa sasa mtu anaweza akaniambia

"Tatizo lipo mstari wa 8 umesahau semi colon (😉"

na mimi nikienda kwenye code yangu nitaweka semi colon then script itaendelea sawa. I hope nimeweza kusaidia kiasi.

GIVENALITY
 
Hapo awali PHP button ilikuwa inaonesha numbers, sasa sijui why haioneshi.
 


Asante sana GIVENALITY ubarikiwe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…