Kitu ya mujerimani hii

Kitu ya mujerimani hii

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,163
Reaction score
5,768
Otea hii bodi ina miaka mingapi halafu linganisha na haya maboksi ya siku hizi. Hii kitu ukiihitaji kama chuma chakavu njoo chukua ila usikate mti.
 

Attachments

  • 1408624095592.jpg
    1408624095592.jpg
    83.2 KB · Views: 472
Hii kitu noma ndg, hata Mjerumani mwenyewe siku hizi hawatengenezi tena gari ngumu km zile za zamani
 
dah aise kweli nimeamini kwamba ya kale ni dhahabu
Sio magari yenu ya siku hizi ambayo body yake ni full mabox ndo maana ajali za siku hizi vifo vimekuwa vingi mno kwa sababu hata body lenyewe tu halitoshi kumkinga mtu dhidi ya mikikimikiki ya nje
 
Bodi bado zima kabisa, imekosa rangi tu.
 
Hapo utachakaa mti yenyewe bado inadunda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom