Kitu pekee kinachomfanya mwanamke asichepuke hiki hapa

Kitu pekee kinachomfanya mwanamke asichepuke hiki hapa

Hivi mkuu we ni mgeni humu MMU

yule mchakataji wa viazi kua chipsi alisema "' uki deal nao sana utakufa mapema"

Na mwingine akasema 'siku ukijua mwanamke anataka nini basi unakarbia kufa '

NB .HIZO NI ASSUMPTION TU UNAWEZA KUWEKA KRITIZIMU KWA MDA WAKO
 
Nakubaliana na ww
Dawa ni moja tu ndugu zangu, kua katika mahusiano na binti aliekuelewa, yanj anaekujali, sana.

haijalishi ana mapungufu kiasi gani, kama mwanamke kakuelewa huyo ndie mwanamke anaekufaa

Binafsi katika utafiti wangu nimejiridhisha kwa hili, wale mademu niliokua nikiwatongoza na kuwahonga wengi waliishia kucheat ama kuniacha ila wale ambao waliotia juhudi za kutoa ishara kwamba wananijali hawakuwahi kunichepuka nilipoitikia wito wao.

kwa bahati mbaya hawa ambao walinielewa nilikuwa nawaona hawana thamani, wengi niliwaacha nikiwaona wanajigonga kwangu na wachache waliniacha baada ya kushindwa kuvumilia navowanyanyasa.

Kuna baadhi wameolewa ila hadi Leo wananicheki sana kwenye simu, huwezi amino kuna Binti moja nilimwacha mara 3 ila alifanya jitihada zilizonishangaza kulifufua penzi kila napomwacha, nilimwacha moja kwa moja nilipogundua alikua kanifichia siri kaolewa, alikuwa ananipa hela akinidanganya kaajiriwa kumbe ni za bwana wake.

Unaweza ukawa mzibuaji mzuri sana wa sikio la chini lakini ukachepukwa, Unaweza kuwa na fedha nyingi sana ila binti akakuchepuka kwenda kupata pumziko kwa tulizo lake la moyo.

Ni hatari sana unapolazimisha penzi kwa hawa viumbe, na mbaya zaidi wana kipaji cha hali ya juu sana kukufanya udhani unapendwa kumbe unachepukwa vibaya mno.

Ni hayo tu, Penda mwanamke ambae kafa kaoza kwako.
 
Back
Top Bottom