Kitu kutoka UK

utumbo wa nini jama! Isije kuwa wa white people waliotengana na dunia.
 
Ya nini utumbwe utupwe?,wakati wenyewe twalia ndizi?,supu ya utumbo naigopa siku hizi,nasikia wale jamaa wanaoleta ng'ombe/mbuzi wanangonoka nao ha ha ha..
 
Utumbo kutoka London..? kwani bugurni pamefungwa?
 
Halafu shilingi ya kwetu inashuka kwa ujinga kana huu hata utumbo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…