Huyu atakuja kuwa dereva wa bodaboda....
Huo ndio Urithi wa watoto wetu
Wallahi tena ndo kishatuharibia watoto hivyo.
Mkuu kizazi chenu hakiwezi kufananishwa na cha sasa,hiki kinaitwa cha nyoka,mivao staili za kucheza na kila kitu vimeharibika ndo maana nikasema hivyo,enzi zile watoto wa kike waliruhusiwa kwenda disko na walirudi salama majumbani kwao,leo inawezekana kweli hiyo?mkuu kucheza mziki ni kuharibu watoto kweli!!!basi sisi kaka na baba zao tutakuwa tumeharibika kupita wao maana tunaenda club hadi usiku wa hatari!
Mtu mzima kila nikijaribu nashindwa. Hii kweli ni kwa ajili ya watoto.....