hodogo JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 238 Reaction score 93 Sep 28, 2012 #1 Wataalamu wa maujanja tafadhari nisaidieni kuibangua hii modem ya vodafone ili itumie line zote? Vodafone model K3570-Z
Wataalamu wa maujanja tafadhari nisaidieni kuibangua hii modem ya vodafone ili itumie line zote? Vodafone model K3570-Z
Firewall JF-Expert Member Joined Aug 18, 2012 Posts 272 Reaction score 61 Sep 28, 2012 #2 search JOIN AIR google thn idownload kisha fata maelekezo, iko simple! me na2mia io.. ukishindwa wataalam watakuja kukusaidia. Ila ungesearch kwanza humu jf, kuna threads kibao zinazungumzia io kitu.
search JOIN AIR google thn idownload kisha fata maelekezo, iko simple! me na2mia io.. ukishindwa wataalam watakuja kukusaidia. Ila ungesearch kwanza humu jf, kuna threads kibao zinazungumzia io kitu.