Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
ha ha ha haya waachie wanaopenda hivo vitu we tafuta size yako bana!!!Karaha kwako wewe starehe kwa wengine....ila kama nilivyo sema kamoja napata maumivu ya mwili mwezi mzima! hilo limwili mimi hujanishawishi! mie portable bwana!
washawasha ngunia la chomvi wezako wanaonga meli...african womanooo huyo
Huyo ni Zena au Betina?
ipi hio hebu nifumbue macho....
..bana Kin... bana Kinshasa!!!Nalog off
hawa ni wabongo sio wa kinshasa...bana Kin... bana Kinshasa!!!
kutafuna zigo dizain hiyo inataka mauzoefu sana.unaweza kuishia katika mashavu ukamaliza kila kitu loo.
Labda kwa show game tu! lakni ligi mmmh!
hawa ni wabongo sio wa kinshasa.
Nalog off
humo humo....watajiju ...inch 3 potea!!! inch 4.7 na 5 and above VITANI!!!