T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,453 Reaction score 8,439 Aug 1, 2014 #1 View attachment 174614
Alola JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 476 Reaction score 300 Aug 1, 2014 #2 Binadamu tuna akili nyingi sana...basi tu uzembe wa hapa na pale...mchina katoka kivingine maana kila akifanya kitu mnasema kaiga...
Binadamu tuna akili nyingi sana...basi tu uzembe wa hapa na pale...mchina katoka kivingine maana kila akifanya kitu mnasema kaiga...
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Aug 1, 2014 #3 Jamaa anamatatizo ya fangasi anaogopa sana maji!
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Aug 1, 2014 #4 Na hapa bongo pia yatafika na hasa siku za masika maana hapa bongo si mafuriko tuu na kuna madimwe na mahandaki barabarani na kila sehemu ya huu mji
Na hapa bongo pia yatafika na hasa siku za masika maana hapa bongo si mafuriko tuu na kuna madimwe na mahandaki barabarani na kila sehemu ya huu mji