labda nijitambulishe kwa mara ya pili mkuu rombo
aiseeee babayangu sisi watu wa mkuu rombo tumekaa chini na kutafakari kwa kina sana kuhusu hiki kitu chenye ncha kali na kitu chenye kishindo kikubwa tunashindwa kukielewa hasa ni kitu cha aina gani hilo la kwanza
pili waziri mkuu ametowa taarifa kuwa ni bomu mweshimiwa lukuvi pamoja na nape wanasema ni kitu chenye kishindo na ncha kaili
hiyo basi sisi watu wa rombo tunaomba ufafanuzi kwa wale wenye kujua hiyo vitu maana vinatumaliza hasahasi kitu chenye ncha kali atujuze sisi watu wa mkuu rombo
salamu nyingi watu wa dar na arusha