Kitu cha Malawi chamtoa nishai njemba, Arusha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitu cha Malawi chamtoa nishai njemba, Arusha.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Msandawe Halisi, Jan 21, 2011.

 1. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  [FONT=&quot] Kituko cha Arusha hiki hapa. Mtaalamu wa kuvuta boby marley, jana alizimika kama wale wanao zima Bar baada ya kukata kilaji cha nguvu.

  Jamaa kazimika kwa kitu cha Malawi. Nilimsikiaa jamaa akisema, huyu ndugu alifikiri kitu cha Arusha kama Malawi. Ikanibidi nidadisi tofauti ya kitu cha Arusha na Malawi.

  Jamaa moja akaniambia, kitu cha Malawi kwanza kinapitia kiwandani. Nikasema Eboo! Nilikuwa sifahamu. Akaendelea, kitu kikishachumwa, anapewa mbuzi kwanza akile, kisha ile waste product ya mbuzi inaanikwa juani alafu inasagwa.

  Baada ya hapo, ukali wake huwa mara 7 ya hii kitu ya Arusha. Jamaa baada ya kupiga kipisi cha kwanza, akapiga cha pili ile anamaliza tu, akanza kupiga kelele. Alikuwa anaona mawingu yapo chini ardhi juu. Punde mshikaji akazima kimyaa. Kama umuonavyo sasa hivi baada ya saa mbili kupita atleast anaanza kurikavaa.
  [/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]

  Wana JF, leo bado nipo Arusha. Kesho nitaelekea Kondoa kwa ndugu zangu warangi. Siku njema
   
 2. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Akaendelea, kitu kikishachumwa, anapewa mbuzi kwanza akile, kisha ile waste product ya mbuzi inaanikwa juani alafu inasagwa.

  Sasa huyo mbuzi si nae atakuwa chizi?
  mbuzi anakula jani aka ganja!!:crying:
   
 3. Davesto

  Davesto JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
  Hiyo ni mauzushi tu.cha namibia&malawi still ni mtoto wa kule kwa kah;ya ya chuga man.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,490
  Likes Received: 19,885
  Trophy Points: 280
  mkuu tuwasiliane basi ukipita hapa babati.....kitu cha malawi kipo
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,490
  Likes Received: 19,885
  Trophy Points: 280
  ipoje hiyo?
   
 6. Davesto

  Davesto JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
  kaya ya arusha
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  makofia pls unaniumiza mbavu bana
   
 8. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  yalaah!
   
 9. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Dah!! Hii kali mkuu...
   
Loading...