Waumini wake mbona wanamfahamu mama mchungaji wao siku zote,wewe tu ndiyo ulikuwa humfahamu,na ungekuwa unafatilia ibaada zake ungekuwa unamfahamu maana kila siku yuko front.Teh teh kama mke wa gwajima halafu wanachepuka na maslay queens na wanawahonga hatare hahahahah
Wake zao wanawafiacha hata kuongozana wanaona tabu,kama mke wa gwaji boy amejulikana baada ya mzee kukumbwa na skandali ila mwanzo alimficha teh teh
HandsomeKigori...!!
Kuvaa kimini sio sifa pekee ya kumfanya mwanamke asiolewe.Kwa kweli inataka moyo sana kuoa mvaa vimini,mtu anatangaza biashara nje nje alafu mimi nioe?!.
tuvaeje ndo mtuoe sasa jamani!
.................Vaa kama izo emoj
Siamini kama hujanielewa nilichokisema kwa jinsi ninavyokufahamu hapa, nadhani ni katika kutaka kuwatetea watembea uchi, ila sio mbaya sababu ni wanawake wenzako.Kuvaa kimini sio sifa pekee ya kumfanya mwanamke asiolewe.
Unazungumzia vimini gani Mkuu, maana kimini kikifika kwenye goti sioni tatizo. Na mie hivyo navaa na mume niko naye
And that's my point,kwanini mchepuko aonekane ana tabia mbaya halafu wewe mume wa mtu ujione una tabia njema?ndege warukao pamoja wamefanana hao,there is no exceptions katika hili.Naona unataka kujaribu kutetea wakaa uchi, soma hapo, nilikwambia kuwa aina hiyo ya wanawake sio kwamba watakosa wanaume, hasha, watapata ila kwa kutamaniwa na si kwa kupendwa kisa tu yupo uchi.
Alafu mchepuko ni mchepuko tu na sikuzote hakunaga mchepuko unao sadifu tabia njema, kwasababu huko kuchepuka kwenyewe tayari ni mbaya, kwahiyo haijalishi unachepuka na nani bado itasadifu tabia mbovu tu, sijui kama walijua hilo?
Halafu wanaume wa jf muwe mnakubali katika kutokubalina,haimaanishi eti point ukitoa wewe basi ni valid.Si njema sana katika afya ya mijadala.be open minded manake zaid ya comment mbil unasema watoa point wanawatetea watembea uchi.Siamini kama hujanielewa nilichokisema kwa jinsi ninavyokufahamu hapa, nadhani ni katika kutaka kuwatetea watembea uchi, ila sio mbaya sababu ni wanawake wenzako.
Siongelei waumin wake,naongelea watanzania kwa ujumla walikuwa hawamfahamu,alikuwa anajitokeza hadharani peke yake mara zote kama senior bachelor kumbe ana mke,yalipomkuta hahahah ndo bibi yule kuletwa kwenye vyombo vya habari kuokoa jahazi tehWaumini wake mbona wanamfahamu mama mchungaji wao siku zote,wewe tu ndiyo ulikuwa humfahamu,na ungekuwa unafatilia ibaada zake ungekuwa unamfahamu maana kila siku yuko front.
Mbn wameolewa kibao na tu naona
Mm na migaun yang mpk saiv sijaolewa
Kitu ambacho hawataki kukubali hiki,
Alafu utakuta anajisifu ooh" natongozwa kila mtaa hadi kero sasa hivi wanaume mkoje"
Unatongozwa hovyo kwasababu unatamanisha watu tu kwa kutembea uchi lakini sio kwamba et we ni mzuri sana.
Mwanamke mwenye heshima zake hatongozwi hovyo kuna nidham yake katika kumfata, sio nyie mnaoparamiwa ovyo hadi na mateja.
Yani watembea uchi wote mtabaki tu kuwa michepuko a.k.a Kete na sio kuolewa labda mbadilike.
Naona unataka kujaribu kutetea wakaa uchi, soma hapo, nilikwambia kuwa aina hiyo ya wanawake sio kwamba watakosa wanaume, hasha, watapata ila kwa kutamaniwa na si kwa kupendwa kisa tu yupo uchi.
Alafu mchepuko ni mchepuko tu na sikuzote hakunaga mchepuko unao sadifu tabia njema, kwasababu huko kuchepuka kwenyewe tayari ni mbaya, kwahiyo haijalishi unachepuka na nani bado itasadifu tabia mbovu tu, sijui kama walijua hilo?
Nenda ukiwa umevaa hivi ofisini kwako au katika ofisi za serikali/sekta binafsi then njoo u-tupatie mrejesho hapa kuwa umeonekana ni mtu wa namna ganiHata makahaba wa kimboka nowdays wanavaa baibui na nikabu
Mavazi sio main factor ya kujudge tabia ya mtu
Kwamba mtu avae hivi halafu isiwe main factor ya kujudge Tabia yake ...you can't be serious mkuu 'Hata makahaba wa kimboka nowdays wanavaa baibui na nikabu
Mavazi sio main factor ya kujudge tabia ya mtu
Vaa kama myahudi.tuvaeje ndo mtuoe sasa jamani!
Haya kuanzia Leo tutaanza kuvaa maderaKitu Ambacho wanawake/wasichana hawajui ni kwamba, Wanaume hawaoi mtu alivaa nusu uchi/ au kuwa wazi hao wanakuwaga wa mpito tu. Kila mwanaume anatafuta mwanamke ambae atatulia nae na alietulia kichwani. Lakin mvaa vichupi,vimini,sijui bikini hawa hatuoi!!!!!