Kitoweo cha ki nigeria hicho

naona ndo unafanya kazi yako ya uganga vp jamaa wanatafuta utajiri nini?
 
sasa unataka kututisha na uganga wako huo
 
Kwa nini mshangae kitoweo cha Nigeria na mshindwe kushangaa kitoweo chetu cha Iringa???
 
kwa nini bongo tunakuwa maskini, kama manyau muhimbili/mwananyamala hospitali yapo kibao na soko lipo!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…