Beberu Mwitu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2019
- 495
- 708
Siyo chai mkuu, hii imenitokea jioni hii hii
Dunia hii inaenda wapi?
Leo katika harakati zangu za kujitafuta nikaenda mahali fulani. Mara nikakutana na katoto kadogo kanasoma darasa la sita, kakaniambia " Uncle samahani, dada amesema nikupe hiki kikaratasi".
Ile kufungua nikapigwa na butwaa baada ya kukutana na maneno haya" Kaka X nakupenda sana naomba univalishe pete nzuri niridhike". Mamaaa nikaona jela hii hapa, kabinti kanasoma form 4 shule moja hivi hapa Dar.
Aisee nimemuangalia mdogo mtu nikasepa zangu, ile narudi kupitia njia ile ile, kakaja tena. Dada anaulizia jibu lake. Nikamjibu "kamwambie ayapende masomo yake".
Wazazi muwalinde watoto wenu.subiri 2027 kafikishe 20 yrs laa sivyo hatua za kisheria zitakuukumu mkuu
Jela itakufuata mkuu.Nitumie namba yake hako katoto nikaseme sana
Kuna vitu haujasema......Siyo chai mkuu, hii imenitokea jioni hii hii
Halafu wazazi wake ni watu wa heshima sana. Wapo huko kwenye systemvitoto vya kike vimekua hasara sana kwa wazazi mbaya zaidi ni kwamba havina ambition ya vitu maana
Nataka nikaase tu kayashike sana masomo maana ni karibu na nectaJela itakufuata mkuu.
Kila kitu kipo hapo.Kuna vitu haujasema......
HahaahaahaWewe ukipigwa vizuri utaongea ukweli wote 💀
Sina namba zake mkuu. Nitachukuaje namba ya kunipeleka jela?Nataka nikaase tu kayashike sana masomo maana ni karibu na necta
Chai ya moto sana siyo?😂😂
Hata nami nimeona kwamba kuna vitu kafichaKuna vitu haujasema......
Nimeshangaa sana.Kwamba umeshangaa! au unatuchora.