Naibu waziri kashikwa pabaya na MB Tundu Lissu, busara za mwenyekiti zimemsaidia sana NW coz TL alishaanza kusoma ukweli na uongo wa NW. TL kadai NW kadanganya Bunge na Ushahidi anao sasa hivi. M/kiti kamwambie asome ushahidi na ananza kusoma, MB mwingine anaomba mwongozo kusema alete ushahidi badae na kipindi cha maswali na majibu kiendelee. Nadhani inahusika na wananchi kuchangishwa na serikali. NW akitaka kujitetea, M/kiti anampiga stop. Bunge tamu kweli sasa hivi.
Kwa wewe unaonekana unapenda sana mabifu!!mi nilijua wamezipiga kavu kavu kama nigeria!
Mi nilidhani unasema wamerushiana viti kama Somalia.
Kwa wewe unaonekana unapenda sana mabifu!!
Kuwa mvumilivu si unajua siku hizi JF ilivyopoteza mwelekeo mtu anakuja na hoja ambayo aijakamili na hayuko teyari kufafanua zaidi!kwa mfano NW,TL maana yake nini?hii ni kumchanganya msoma mada!naibu waziri wa nini? na ilikuwa ni issue gani?
Duh!kumbe mpo wengi!ipo siku utakutana na za kichina china kabla ujanyanyua hiyo fatuma yako teyari utakuwa na ngeu kama saba usoni,hapo ndiyo utajua mabifu si mazuri!!hata mm mkuu tukutuku, napenda wazichape, ila mimi huwa sipendi kupigana, nikizidiwa nanyanyua jiwe la fatuma.
Kuwa mvumilivu si unajua siku hizi JF ilivyopoteza mwelekeo mtu anakuja na hoja ambayo aijakamili na hayuko teyari kufafanua zaidi!kwa mfano NW,TL maana yake nini?hii ni kumchanganya msoma mada!
Naibu waziri kashikwa pabaya na MB Tundu Lissu, busara za mwenyekiti zimemsaidia sana NW coz TL alishaanza kusoma ukweli na uongo wa NW. TL kadai NW kadanganya Bunge na Ushahidi anao sasa hivi. M/kiti kamwambie asome ushahidi na ananza kusoma, MB mwingine anaomba mwongozo kusema alete ushahidi badae na kipindi cha maswali na majibu kiendelee.
Nadhani inahusika na wananchi kuchangishwa na serikali. NW akitaka kujitetea, M/kiti anampiga stop. Bunge tamu kweli sasa hivi.
Kazi kwelikweli haya bana:
NW-Naibu Waziri(Sijajua ni wa nini coz wanasema tu Naibu Waziri-hawajaspecify)
TL-Tundu Lissu.
MB-Mbunge
M/Kiti-mwenyekiti anayeendesha bunge
naona hawa watazichapa si muda mrrefu