Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,445
- 8,418
Amekosa wachinjaji wa halal !!!
Angepita kariakoo wavaa vipedo wangechimba lami nzima kisa mr haramu a.k.a noah kapita yaani huu msimamo wa kumuona nguruwe haramu wangeutransform huo msimamo kwa kuhimiza waislam wasome,au kuhimiza michango ya kujenga shule wangefika wapi?
Dini na elimu ni vitu muhim etiunajadili mnyama au udini na elimu za watu?...