Nimetua iringa..nahitaji kujua sehemu gani hapa town ilio tulivuuu wanayochoma au kuroast kitimoto kizuurii nataka nikajipe raha jioni hii mwenzenu maana nina uchovu si wa kawaida...
Nenda pale nyuma ya stendi karibu na duka la muhindi.....ulizia wapi wanabwaka? Vijana wa pale watakuonyesha sehemu kitoweo kinapopatikana.....kuna nyama ya paka, panya, mbwa, na mkuu wa meza pale.