Unataka kula nyama ya nguruwe ambayo haijaiva vizuri ili ugundue nini?
Usile kitimoto ambayo haijaiva vizuri, hakikisha imepikwa kwa moto mkali, kama ni ya kuokwa hakikisha imeokwa kwa muda mrefu hadi mifupa ichomoke kwenye nyama.
Unajua Wasabato na wale jamaa wa ile dini nyingine ni waroho sana, na wanakula kwa kujificha, hivyo basi kabla kitu haijaiva vizuri wanataka iwe imeisha.