hii familia ina hela na vitega uchumi balaa na walikuwa na uwezo wa kutuchagulia rais kwa mgongo wa mabadiliko. wiki mbili kabla ya kura mama yake na shose Ave sinare alihama ccm na kuja chadema wakati kihalisi hawa watu wamekulia ccm na ndiko walikotajirikia