Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,025
- 285,558
basi mnajikuta wafuata mkumbo mmekusanyika mahali mnakasirikia kazi kubwa ya maendeleo alowafanyia wananchi wake, right?🐒Huyu jamaa yeye utamsikia unapokaribia uchaguzi tu, atapiga porojo zake ili ateuliwe
Ni miongoni mwa mawaziri duni kuliko uduni wenyewe, hana lolote zaidi ya uchawa
Nakulilia Tanganyika
Nimemdharau sanaHuyo Hana lolote wakati yupo chuo kazi yake ilikuwa kupiga watu makalai tu
Unamsagia kunguni?Huyu jamaa yeye utamsikia unapokaribia uchaguzi tu, atapiga porojo zake ili ateuliwe
Ni miongoni mwa mawaziri duni kuliko uduni wenyewe, hana lolote zaidi ya uchawa
Nakulilia Tanganyika
Huo ndio ukweliUnamsagia kunguni?
One of the useless people in tanzaniaHuyu jamaa yeye utamsikia unapokaribia uchaguzi tu, atapiga porojo zake ili ateuliwe
Ni miongoni mwa mawaziri duni kuliko uduni wenyewe, hana lolote zaidi ya uchawa
Nakulilia Tanganyika
Sawa nyumbu tumekusika! Tuma salamu kwa watu wanne!Huyu jamaa yeye utamsikia unapokaribia uchaguzi tu, atapiga porojo zake ili ateuliwe
Ni miongoni mwa mawaziri duni kuliko uduni wenyewe, hana lolote zaidi ya uchawa
Nakulilia Tanganyika
Umeamua kuacha title yake ya profesa Ili kushajiisha uduni unaodai anao,kana kwamba kila siku hukaa pembeni ofisini kwake kuangalia ufanyaji kazi wake, waziri kazi yake si kuongea kila siku asikike kama wewe na propaganda zako humu kutwa kuchaHuyu jamaa yeye utamsikia unapokaribia uchaguzi tu, atapiga porojo zake ili ateuliwe
Ni miongoni mwa mawaziri duni kuliko uduni wenyewe, hana lolote zaidi ya uchawa
Nakulilia Tanganyika
Kama yule aliesaliti legacy ya mwendaaze ili awe.waziri wa masamaki kwa kuteuliwaOne of the useless people in tanzania
We mwanamke unaporojo sanabasi mnajikuta wafuata mkumbo mmekusanyika mahali mnakasirikia kazi kubwa ya maendeleo alowafanyia wananchi wake, right?🐒
Kiukweli humu JF tuna viazi mbatata za ajabu sana!, mtu ambaye ndie alikuwa think tank wa Chadema, baada ya kutimuliwa Chadema, ndio ukawa mwisho wa Chadema kufanya siasa za kimikakati na kukumbatia siasa za matukio!Huyu jamaa yeye utamsikia unapokaribia uchaguzi tu, atapiga porojo zake ili ateuliwe
Ni miongoni mwa mawaziri duni kuliko uduni wenyewe, hana lolote zaidi ya uchawa
Nakulilia Tanganyika
Tuna upungufu mkubwa wa waleta mada za maana JfKiukweli humu JF tuna viazi mbatata za ajabu sana!, mtu ambaye ndie alikuwa think tank wa Chadema, baada ya kutimuliwa Chadema, ndio ukawa mwisho wa Chadema kufanya siasa za kimikakati na kukumbatia siasa za matukio!
Hiki ndio kichwa behind DIRA ya Taifa na ilani ya CCM!, halafu kilaza mmoja anakuja kumponda, huwezi jua 2030 atakuwa nani, just wait and see!
P
Nshomile takataka bashiruKama yule aliesaliti legacy ya mwendaaze ili awe.waziri wa masamaki kwa kuteuliwa
naunga mkono hoja mwalimu P 🤝Kiukweli humu JF tuna viazi mbatata za ajabu sana!, mtu ambaye ndie alikuwa think tank wa Chadema, baada ya kutimuliwa Chadema, ndio ukawa mwisho wa Chadema kufanya siasa za kimikakati na kukumbatia siasa za matukio!
Hiki ndio kichwa behind DIRA ya Taifa na ilani ya CCM!, halafu kilaza mmoja anakuja kumponda, huwezi jua 2030 atakuwa nani, just wait and see!
P
Mnapenda sana Nyuzi za mapambio zinazohusu watu wa CCM na mwisho wa siku wanachama wenu wakiwachana ukweli mnaanza kuwavua uanachama na kuwaweka kizuiziniKiukweli humu JF tuna viazi mbatata za ajabu sana!, mtu ambaye ndie alikuwa think tank wa Chadema, baada ya kutimuliwa Chadema, ndio ukawa mwisho wa Chadema kufanya siasa za kimikakati na kukumbatia siasa za matukio!
Hiki ndio kichwa behind DIRA ya Taifa na ilani ya CCM!, halafu kilaza mmoja anakuja kumponda, huwezi jua 2030 atakuwa nani, just wait and see!
P
Mnapenda sana Nyuzi za kuwasifia viongozi wenu ila zikija kinyume mnapiga keleleTuna upungufu mkubwa wa waleta mada za maana Jf