Kitila Mkumbo zaidi ya umjuavyo

Kumbe Kitila ndio mentor wa Zitto, then Bunge lijalo Zitto ndie KUB!.
P
Mkuu Pasco;
ZZK anatamaa ya kugombea Urais mwaka huu na tayari kaanza kukusanya fedha bila shaka kupitia mikutano aliyofanya ughaibuni.

Kwa kuwa ZZK anagombea Urais, maana yake hatagombea Ubunge na U-KUB sioni kama ataupata.

Kwa upande mwingine; ZZK alijitabainisha yuko radhi Tanzania isipate hela za mkopo wa Elimu mpaka pale serikali ikisarenda kuruhusu watoto waliopata mimba kurejea shule.
ZZK anajua suala la mwenye mimba kufukuzwa liko kwa mujibu wa sheria za wizara ya elimu toka enzi za mchonga; na Mama Salam ambae ni mwl kitaaluma aliwahi kuwataka mabinti wasipanua mapaja yao kwa kujua sheria zetu hazina sali ya mtume kwa wenye mimba kama ambavyo kijana wa kiume akithibitika kafanya uasherati nae anapugwa.

Iwapo ZZK akaghairi kugombea urais, akasimamishiwa jembe Kigoma na kuangukia pua kwa mbinu za ushindi za changuzi zetu hapa Tanzania sawia na kauli na Prof. Bashiri mtaalam wa siasa; kama ninavyowaza ntakuwa sawa, ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko ZZK kuingia mjengoni term ya 2020-25 mwana wa Chato akimalizia ungwe yake ya pili.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wanaojua kuchambua tu. ACT= tawi la kitengo.
Sababu chache ni hizi.
Zitto=Juisa=Ristom=Jaki zuku= B. Maembe
J.K. Nyenyere=Sefu.
Kitego kimeunda chama ili kuinusuru ccm. Bora corona itupige ili ivuruge hii mipango ovu
 
Mkuu Freddie Matuja,
  1. kwanza asante kwa good analysis, please usiite Zitto ana tamaa kugombea urais hivyo kuwadhalilisha wagombea urais wote kuonekana ni watu wenye tamaa, wakati in reality watu wote wenye serious political ambition, they must aim high, the highest office, sky is the limit.
  2. So far kwenye siasa zetu, Zitto ndio the best candidate kumchallenge Magufuli na Magufuli akapata joto la uchaguzi. He just needs support and resources kama mgombea wa CCM, kaka mkubwa Pampeo akitoa, CCM ina kazi na kibarua kigumu.
  3. Ili Zitto aweze kuleta impact ni lazima awe mgombea wa muungano wa wapinzani kitu ambacho ni kigumu kwa Chadema.
  4. Hivyo Zitto atamshinikiza Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli kama mimi nilivyo shauri hapa Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli! - JamiiForums
  5. Halafu Zitto atasimama Kigoma mjini. Watu wa Kigoma ni watu wenye msimamo sio watu wa kkupelekwa kama mazuzu, hivyo Zitto akisimama yeye, hata CCM wadhikiri uch., hawawezi kumng'oa Zitto home base yake.
  6. Kura za kumfanya Zitto awe KUB ni already secured yale majimbo mawili ya Zanzibar na ngome ya CUF ya Pemba ambayo sasa itakuwa ACT, na kama kuna sehemu CCM ingehitaji Kumwaga fedha, ni Pemba ila very unfortunately wale jamaa sio mala.. kama hawa wenzetu wa huku, wao hawahongeki kirahisi.
  7. Tatizo la ubunge wa 2020 kwa huku bara, ni matatizo makuu mawili. La kwanza ni kwa CCM imeisha wanunua wabunge na madiwani kadhaa wa Chadema kwa ahadi ya kuwasimasha ile 2020 hivyo upinzani hauna able people wa kutosha kuichallenge CCM kama nilivyoeleza hapa, Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
  8. La pili kwa maoni yangu the NCCR & CUF factor ambao wote hawa wawili ni njaa kali, watakuwa compromised na watagoma kuunda a United Front against a common enemy, hivyo wata wage war kwa vita vya panzi kwa ku split kura za upinzani, huku kunguru amesimama pembeni!.
  9. Uchaguzi wa 2020 utakuwa ni mgumu sana kwa CCM kupiga bao la mkono kwa kuitumia NEC kwasababu kaka mkubwa Pampeo atawezesha wapinzani wa kweli kusimamisha mawakala wenye simu janja kila kituo.
  10. Uchaguzi utakuwa huru na wa haki kwa kura zote hadi urais kuhesabiwa kituoni na matokeo ya kila kituo kubandikwa kituoni na hivyo kila chama, kufanya scan ya matokeo kwa kutumia simu janja na kuruhusiwa kufanya independent tallying ila sio kutangaza matokeo, hivyo uchaguzi wa this time ni uchaguzi huru na wa haki, hakuna room ya kufanya janja janja.
Hitimisho.
Pamoja na yote haya bado CCM itashinda kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 91% hizo asilimia 8% ni zile za the Zanzibar factor ndio itatibua ule ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwa CCM kama kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
P
 
Huyu huyu Kitila Yuda Isikarioti wa mageuzi nchi hii.
Not necessarily, anaweza kuwa ndio the messiah!, hata Masiya ni Myahudi lakini alikwenda kuishi kwa gentiles Misri hadi alipotimu umri wa miaka 30 ndipo akarejea Uyahudini.

Nabii Musa ni Myahudi lakini alilelewa kwa pharaoh na ndiye aliye wakomboa wana wa Israel kutoka utumwani Misri.

Wanasiasa ma strategists, never fight a losing battle, if you can't beat them, join them.

Paskali
 
ok mchango mkubwa katika siasa...
 
Kwa hiyo mwalimu alienifundisha shule ya msingi alafu nikajindeleaza elimu ya juu nikaja kuwa profeser yule mwalimu wa msingi ndio alienifikisha kwenye uprofeser?watu wengine bhana!!
 
Zitto akiwa Kub itapigwa mikono kama aliyokuwa anatembeza Mabere Marando akiwa mzima. Msaliti na mnafiki kama huyu awe Kub? Hata kama ni mshikaji wako hafai kabisa. We ngoja october uone.
 
If not, who?. Chadema is done!.
P
Political atmosphere hata Tz imebadilika sana. Hasa kutokana na namana JPM anavyoendesha nchi.Ni ngumu kusema nani atakuwa maana huyo jamaa hata ubunge kama ataupata ni kwa tatu sana. Tusubiri tuone.
 
Kaka Paskali,
Umekuwa na a lot of good analysis kumhusu ZZK.

Ila fahamu ZZK hana sense of maturity kama Ma-KUB waliopita akiwemo Rwakatare, Hamad Rashid na Mbowe kwa sasa.

ZZK huwa anakurupuka na kuweka kwa public vitu ambavyo hata wakati mwingine hajafanya thorough findings na ku-verify na source yake, yeye anakurupukaga tu.

Jana kaja na taarifa ya Prof. Janabi kuondolewa JKCI, baada ya kusababisha panic, haikumchukua muda akakanusha pasi kuomba radhi kwa usumbufu aliosababisha.

Jana haikuwa mara ya kwanza, ZZK kuwahadaa Watanzania. Sasa ndugu yangu Paskali, wewe wajua vyema kiongozi hatakiwa kuwa chanzo cha kupanikisha watu na kusababisha taharuki, huyu ataweza kweli kusimama kwa maslahi ya Watanzania kwanza kabla ya maslahi yake.

Labda, ila mimi binafsi sina imani kabisa mtu wa ndimi mbili akiwemo ZZK.
 
Huyu Kamwaga anatafuta kazi Wizara ya Maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…