mpenda1961
Senior Member
- Apr 2, 2013
- 123
- 78
Bush lawyers ndio wamejaa mitaani na suti zaoKuna wakili asiyejielewa?
ACT Wazalendo imeingia dosaribaada ya kitila mkumbo kuteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya Maji na kuacha nafasi yake ya mshauri ACT WAZALENDO, Leo Act wamemtangaza wakili msomi na anayejielewa Albert Msando kuichukua nafasi hiyo...
HONGERA ALBERT MSANDO
HONGERA ACT WAZALENDO KWA KUAMINI VIJANA
Wako wengi tu, ndo maana Tundu Lissu huwabwaga mahakamani kila mara.Kuna wakili asiyejielewa?
Hivi tunaweza pata kesi angalau mbili au tatu alizosimamia na kushinda?baada ya kitila mkumbo kuteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya Maji na kuacha nafasi yake ya mshauri ACT WAZALENDO, Leo Act wamemtangaza wakili msomi na anayejielewa Albert Msando kuichukua nafasi hiyo...
HONGERA ALBERT MSANDO
HONGERA ACT WAZALENDO KWA KUAMINI VIJANA
Lini alichukua kadi?huyu mbona ni ACT kitambo?
Maswali Mengine Ni Ya Kipumbavu Sana,kamuulize MwenyeweLini alichukua kadi?