PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Oktoba 7, 2025, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, aliendelea na kampeni zake za nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa katika mtaa wa Kimara Baruti, uliopo Kata ya Kimara, Ubungo, Dar es Salaam.
Pamoja na hali ya mvua, Kitila aliendelea kuwatembelea waajiri wake (wananchi), kueleza aliyotekeleza na kuomba kura ili kupewa nafasi ya kuongoza kwa miaka mingine mitano.
Kitila aliambatana na mgombea Udiwani wa Kata ya Kimara, Mhandisi Ismail Mvungi.