Kiteto ni syria

Kiteto ni syria

Samwel Meleka

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
601
Reaction score
269
1415879932337.jpg
 
Ukatili umeshamiri mtu kukatiza uhai wa mwenzie anaona kawaida Mungu atahurumie jamani!
 

Nini kimepelekea akaelekezwa kibra?

Heading pekee haijitoshelezi na picha inaibua maswali mengi sana.
Tukio limetokea lini?.
 

Nini kimepelekea akaelekezwa kibra?

Heading pekee haijitoshelezi na picha inaibua maswali mengi sana.
Tukio limetokea lini?.

Mkuu haya ni mauaji yametokea kiteto siku ya jana chanzo ugomvi wa wakulima na wafugaji,na taarifa si ngeni kwa serikali lakni hakuna hatua madhubuti zilizochukuliwa kila siku mauji yanaongezeka.
 
Mkuu haya ni mauaji yametokea kiteto siku ya jana chanzo ugomvi wa wakulima na wafugaji,na taarifa si ngeni kwa serikali lakni hakuna hatua madhubuti zilizochukuliwa kila siku mauji yanaongezeka.
Hii ni hatari sana na haya makovu yatokanayo na haya mauaji yatazihasimisha hizi jamii kwa muda mrefu sana na ni vizazi kwa vizazi.Soo sad halafu haijapewa coverage Sana kwenye media.
 
Back
Top Bottom