Kiteto: Mgambo Ajinyonga Kisa Ugomvi na Mkewe

Kiteto: Mgambo Ajinyonga Kisa Ugomvi na Mkewe

Mimi ninavyotamani kuajiriwa😑
Ajira kwa mwanamke ni ulinzi kwake kwa sababu mume akisema sina anatoa yake bila hata kumbeg MTU....ila pia ukiolewa bila kuwa na ajira kama mume anakupenda kweli anakufungulia biashara au anakupa mtaji
 
Huyo mgambo wa kusumbua wafanya biashara wadogowadogo na kuiba kura wakati wa uchaguzi.
 
Mgambo wa Tanzania wanajinyonga sababu ya mapenzi wakati Mgambo wa Gaza wanapigania ardhi na Taifa Teule
 
Back
Top Bottom