Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Donation kweli ni fedha ya umma na ndio maana kule Kagera bwana 'Umma' aliamua kuondoka na fedha zake akaelekea kusikojulikana...shikamoo muanzisha mada!Wahasibu watuletee maana ya fedha za umma...nilijua tu kuwa kuna atakayeuliza hili.
To be precise...donation ni sehemu ya fedha za umma
Kila hoja inajibiwa kwa style hii hii...ni hatari kwa ustawi wa nchi.kama hamuwajibiki kwa kidogo vipi kwenye kikubwa?CCM mmepanic saana mnapoona Lissu bado yuko hai na kinacbowauma zaidi mnavyoona watanzania wanachanga pesa kuokoa uhai wa Lissu.
In short CCM bado mko kwenye mission yenu ya kumuua Lissu.
Ninavyokumbuka donations zote za Kagera ziliingizwa kwa RAS KAGERA na matumizi yakafuata utaratibu wa serikali.Donation kweli ni fedha ya umma na ndio maana kule Kagera bwana 'Umma' aliamua kuondoka na fedha zake akaelekea kusikojulikana...shikamoo muanzisha mada!
Wajinga ndio waliwao.Chadema wanakusanya badala ya kufungua hata akaunti maalumu,wanaingiza kwenye akaunti ya chamaMimi sio muhasibu na hivyo nitauliza maswali kadhaa tupate ufafanuzi wa kihasibu.waasibu mliomo humu mtusaidie.
Je, ni sahii kwa fedha yoyote ya umma au iliyopitishwa kwenye mfumo wa umma au ukipenda dola kuwekwa kwenye accaunt yoyote isiyoeleweka kwa umma mfano account ya M4C?
Je, utaratibu wa malipo katika taasisi za umma ukoje?
Je, utaratibu wa michango kwenda na kutoka kwenye taasisi za umma ukoje?
Je, sheria za kuhamisha fedha kimataifa zikoje?
Je, kama kuna taratibu za kuhandle fedha za umma na ziko na ukiritimba tufanyeje?
Kuna utaratibu wowote au sheria yoyote inayosimamia uchangiaji wa fedha nyingi au kidogo kwa maslahi ya umma?
Je, Chadema kupitia muhasibu wa chama anahusika vipi kuhandle michango kwa chama au mwanachama?
Je, Muhasibu ana role gani katika kumshauri mwenyekiti wake juu ya kuhandle fedha na michango ya chama au mwanachama?
Maswali mengine yatafuata
Liko wazi hilo na wameumbuka peupe...nimefurahi sana Mh. Mbowe alivyotamka bila kumumunya maneno...ndugai akiambiwa kawekwa kwapani analia lia...ile kauli yake ya chekechea kwamba Zitto si saizi yake nadhani hakuwaza vyema...kama Zito ni wa ligi kuu yeye hata ligi ya mkoa hajaqualify na ushahidi ni jinsi sakata hili lilivyomuacha utupu...CCM mmepanic saana mnapoona Lissu bado yuko hai na kinacbowauma zaidi mnavyoona watanzania wanachanga pesa kuokoa uhai wa Lissu.
In short CCM bado mko kwenye mission yenu ya kumuua Lissu.
Kuhoji ukweli wa matumizi ya fedha na stakabadhi kuandikwa Mbowe ni kupinda akili? Au kuhalalisha wizi huu ndiyo Unyumbu ?Ha ha haaa yaani wote utadhani watoto....
Ccm wanawaza pesa tu.
Wewe ni miongoni mwao! How can you feel something that is not in your mind?CCM mmepanic saana mnapoona Lissu bado yuko hai na kinacbowauma zaidi mnavyoona watanzania wanachanga pesa kuokoa uhai wa Lissu.
In short CCM bado mko kwenye mission yenu ya kumuua Lissu.
si arque na misukule...mimi sio vampire! Hizo risiti unazodai ulimtuma nepi Nairobi?Kuhoji ukweli wa matumizi ya fedha na stakabadhi kuandikwa Mbowe ni kupinda akili? Au kuhalalisha wizi huu ndiyo Unyumbu ?
Ukiweka ushahidi wamchango wako ulochamchangia Lisu . nakupa ml 10.Hatakama tumechanga ss wananchi kwan zakwetu ndo zakuliwa pesa haina rafiki huyo mboe kila kitu niyy inakua kama chama hakijakamilika sitoi tena hela yang wap umeona hela inachangwa halafu inatolewa aelezo yakipumbavu namna ile apeleke marienge yke kule amenikera sna.kila siku linakua natabia yawiz wiz2 sijui hata likoje
Call it a strong and most enduring spermMen you are just a wasted sperm.
Alieandika huu uzi ni shahawa oliopotea.
Wamekufa wangapi Nchi hii wenye Umuhimu zaidi ya huyu mpuuzi wenu!CCM mnahaha kama kuku aliyekatwa kichwa kwasababu tu mnaona Lissu anapata matibabu na nyie mnataka afe ili mfanye sherehe.