Kitendo cha wife kuingilia App ya SMS kila wakati ni kwangu tu?

Embu mkuu fanya hyo sms ndio umeikuta Kwa mkeo mda mchachee ametoka na kurudi alafu hyo sms ndio ikaingiaa Kwa sm yake

Muujiza Gani ungetokea upande wako usiulize sms ya nani hii

KATAA NDOAA....
 
Mkuu. Punguza chat. Kuwa unapiga. Na ukipiga usipende asikie hata kama hakuna kibaya. Ni watu wenye speculations wakati mwingi. Yaani ni ma ofisa wa upelelezi waliojiajiri.
 
Mkuu. Punguza chat. Kuwa unapiga. Na ukipiga usipende asikie hata kama hakuna kibaya. Ni watu wenye speculations wakati mwingi. Yaani ni ma ofisa wa upelelezi waliojiajiri.
Ni kweli ila mi sijachati nae, Kuna sms iyo ye ndo katuma kua vip ushafika? Na mi sikujibu ile sms
 
Wanawake wana matatizo.
Kwenye hii case yako wote wamezingua.
Eti umefika? Yaani kurekebishiwa simu tu unaanza kuniuliza na nimefika.

Mkeo naye kaona tu "umefika " anapaniki.....
Anashindwa kujiongeza kuwa kingekuwa kitu cha siri asingekiona.
Mke anahisi katoka kupata utelezi na sms zote za awali zimefutwa ..
 
Acha kutufanya mafala,akuulize umefika Kwani ni shosti yako?Hiyo meseji ni mbaya mkuu hebu badili hayo maelezo ndio atoe mkeo,kingenuka.Sasa fanya hivi,be a man and deal with the shit,ikiwezekana ingia mfukoni mpelekeee shemeji zawadi,maana tumechoka malalamiko ya ndoa zenu ambazo by the way tulishawakataza
 
Ila hawa wanawake tunaoa tu sababu hatuna wasaidizi ila of course wanaboa sana. Asione sms ya jinsi ya kike hata kama sio mbaya anakufokea.

Leo nilikua na safari town kununua mazaga ya familia kuna sister mmoja work mate alikua anasumbuliwa na simu yake, akanitext nimrekebishie chap alikuja na sister yake nikarekebisha ndani ya dakika 20 nikarudi zangu maskani sasa kuna sms katuma kua ushafika? Kibaya zaidi sijaireply.

Kumbe wife kasoma wakati nimelala mchana saiv ananiambia nimekutana na mtu wangu sijamjibu adi saiv. Dah hatari
Hahahaaa
 
Wanawake wana matatizo.
Kwenye hii case yako wote wamezingua.
Eti umefika? Yaani kurekebishiwa simu tu unaanza kuniuliza na nimefika.

Mkeo naye kaona tu "umefika " anapaniki.....
Anashindwa kujiongeza kuwa kingekuwa kitu cha siri asingekiona.
Naona jamaa analaumu bure tu.
Inaonyesha wazi huyo workmate anahisia na jsmaa kimtindo...hiyo sms ni ndogo ya kawaida lkn ina kiashiria cha kumjali jamaa.

Wanawake wana hisia kali sana, huwa wanaona kile tusichokiona kwa haraka
 
Nifafanulie mkuu kwa vipi?
 
Lakini, kama ungekuta katumiwa text ya aina hiyo ingekuwaje?

Ungekaa kimya kama ambavyo ulitaka yeye akae bila kuuliza?
Wanawake wa miaka hii kila kitu mnataka kushindana tuuuu, itafika mahali mtazaa n'a wanaume wengine mkiwa ndani ya ndoa kwa kulipiza waume zenu!

Wanaume tumekuwa wanyonge sanaaaa! Nifah
 
Back
Top Bottom