Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Kumsaliti mkeo haimaanishi humpendi! Hii ni kama kukodi taksi na wakati una gari yako nyumbani.
Hii inakusaidia kuokoa mataili yasiharibike haraka na hata gari lionekane halijatembea umbali mrefu

Hii inakusaidia kuokoa mataili yasiharibike haraka na hata gari lionekane halijatembea umbali mrefu