Kitendo cha Baadhi ya Vyama kusherehekea na kukebehi Kifo cha aliyekuwa Rais Magufuli hakifai

Sisi wana CCM wengi tumefurahi huyu mtu kufa. Yaani kuharibu sana Chama na marafiki wa Chama tusiwasingizie wapinzani.
Eti kuna mbung’o wachache ndo wanatoa mimacho. Kwendraaaaa
 
Ccm haiwezi kukubali, Mungu ana nguvu kuliko ccm, mfano mrahisi ni jinsi alivyoleta mabadiliko sasa hivi bila umwagaji damu. Nimecheka kwa nguvu eti halafu fikiria ccm kuruhusu atawale hii nchi, kwahiyo nchi hii ccm ndio inaamua nani atawale? Hiki kiburi kitaisha tu soon. Vuta subira hutaamini macho yako, ndio utajua uovu hauna nafasi ndani ya dunia hii.
Ni kweli MUNGU anaweza juu ya kila kitu.kwa Tz na kwa nchi yeyote ukitaka kuwa mwanasiasa mzuri jitahidi sana na uhakikishe kwamba mwenzako akifanya makosa ww usifanye ili uweze kumuwin na kuonesha ukomavu ulionao,ki uhalisia hatupaswi kushangilia msiba tunajidhalilisha sana yawezekana hata wastaarabu waliotupenda wakaona kumbe hatufai kupewa taifa hili kuliongoza.
 
Moja ya karata mbovu kuwahi kuchangishwa katika Siasa za Upinzani Nchini Tanzania ni kitendo cha Baadhi ya Vyama hivyo kusherehekea na kukebehi Kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dr. John Pombe Magufuli.

Mbaya zaidi walianza kumfanyia husda Marehemu bila kujiridhisha nguvu ya upendo wa Watanzania wa daraja la chini kabisa katika maeneo mbalimbali ya Nchini.

Wakaanza kubeba chuki zao za kisiasa na kizifanya ndizo za Watanzania, bahati mbaya Umma umewaumbua.

Kupitia maoni mbalimbali yaliyorushwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari katika nyakati tofautitofauti yalionyesha namna Wananchi walivyoguswa na Msiba mzito wa Kitaifa na kuonesha masikitiko yao juu ya kuondokewa na kipenzi Chao.

Lakini wakati wa kuupeleka mwili Uwanja wa Taifa kwa ajili ya Ibada ya Kuaga, umati mkubwa wa watu ulioangusha vilio huku wakimwaga maua na kutandika nguo bararani, ilionyesha mapenzi yasiyo na shaka kwa Kiongozi wao.

Baadhi ya Wanasiasa wanaobeba sura ya Upinzani Nchini walionyesha namna walivyopungukiwa na maarifa ya kusoma nyakati na wakalibeba jambo hili kwa chuki zao, husda wao na uzandiki wao binafsi jambo liliwajengea hasara ya kupoteza heshima waliyoijenga kwa miaka mingi.

1. ZITTO KABWE.
Huyu analazimisha kuonyesha watu kuwa yeye ni Mpinzani haswa, ila ameshushu heshima yake kwa kuonyesha furaha hadharani, kwakuwa huyu ni Muislamu ngoja nimkumbushe..

"Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa), ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema
“Msiwatukane maiti. Kwani wameshayaendea yale waliyoyatanguliza.”.
Ameipokea Imaam Ahmad, al-Bukhaariy na an-Nasaa´iy.
Leo Zitto amekiruka na kukikwaa kiunzi cha Imani ni aibu.

2.TUNDU LISSU
Huyu ndio kajiondoa kabisa kwenye mioyo ya Watanzania.. Hata huruma alizowahi kuzipata hatokuja kuzisogelea tena, huyu amegeuza Msiba huu wa Watanzania kuwa karata ya kujiona kuwa ni Mtakatifu na mwenye haki.
Anashinda kukebehi, kuisema na kusherehekea Msiba huu.

Hili kwake ni anguko litakalomuadhibu katika Maisha yake yote ya Siasa.
Huyu ndiye Mpinzani namba moja ambaye thamani yake imeshuka na kupoteza mapenzi ya watu kutokana na husda wake kwa Marehemu, kwa kifupi ni mropokaji wa maandishi na mdomo.

Amekuwa akikebehi na kusherehekea Kifo hiki, lakini ni kwa vile aliokuwa akiwatetea kwenye wizi wa rasilimali zetu nao wanashangilia kwa kuamini kikwazo kimeondoka, (anajidanganya).

UPINZANI WA NCHI YETU SIO MBADALA WA MAISHA YATU KWAKUWA HAUTUONYESHI NJIA ZA UTU.
Well said

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli MUNGU anaweza juu ya kila kitu.kwa Tz na kwa nchi yeyote ukitaka kuwa mwanasiasa mzuri jitahidi sana na uhakikishe kwamba mwenzako akifanya makosa ww usifanye ili uweze kumuwin na kuonesha ukomavu ulionao,ki uhalisia hatupaswi kushangilia msiba tunajidhalilisha sana yawezekana hata wastaarabu waliotupenda wakaona kumbe hatufai kupewa taifa hili kuliongoza.
Kwa taarifa yako huku kushangilia kunatoa fundisho halisi kwa wote wenye tabia za kidhalimu wanapokuwa madarakani. Nchi watu wanapewa kwa kujinyenyekeza kwenye msiba wa rais? Najua watu wanapewa nchi kutokana na sera zao, na sio hili unalolisema.
 
Hili mi mwenyewe nimeliona upinzani Tanzania unazidi kudidimia chini,
Lakini lisu alikuwa na nafasi nzuri ya ku-win mioyo ya watanzania,bahati mbaya anachanga karata zake vibaya
 
Raisi wa nchi umejenga mambo mengi kama flyover madaraja ma hosipitali makubwa airbus 11

Arafu anakuja kufia kwenye zahanati ya kawaida kabisa, mtu anaacha hospital ya taifa muhimbili Anaenda kufia Dispensary yaMZENA........mmh!!!!
Mzena ni hospitali kubwa pale Kijitonyama. Siyo kila mtu anaenda pale. Ile ni mali ya TISS na ndugu zao. Wana kila kitu ila ni siri yao kama vitu vingine.
 
AMRI MPYA ALIYOTUACHIA YESU NI KUPENDANA. AMRI ALIYO TUACHIA TUTAMKUMBUKA KWA MAZURI NA WALA SI KWA MABAYA.
TUJITAFAKARI PINDI TUNAPOOMBOLEZA.
 
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾👍🏽
Kwa upinzani hamna majonzi wala msiwalazimishe wapinzani wahuzunike. Ni huyu ndio kaharibu mfumo mzima wa siasa zetu, kawafunga sana wapinzani bila kosa, kawapoteza na udhalimu mwingi kawafanyia.
Wacha wajiachie
 
nilishawah kusema me ntakesha kidimbwi nikapigwa ban, tusilazimishane kumpenda mtu kama kafa wacha afe na sisi tutafuatia ila for the time being wacha tule mbuzi na bia, OVAA
 
Moja ya karata mbovu kuwahi kuchangishwa katika Siasa za Upinzani Nchini Tanzania ni kitendo cha Baadhi ya Vyama hivyo kusherehekea na kukebehi Kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dr. John Pombe Magufuli.

Mbaya zaidi walianza kumfanyia husda Marehemu bila kujiridhisha nguvu ya upendo wa Watanzania wa daraja la chini kabisa katika maeneo mbalimbali ya Nchini.

Wakaanza kubeba chuki zao za kisiasa na kizifanya ndizo za Watanzania, bahati mbaya Umma umewaumbua.

Kupitia maoni mbalimbali yaliyorushwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari katika nyakati tofautitofauti yalionyesha namna Wananchi walivyoguswa na Msiba mzito wa Kitaifa na kuonesha masikitiko yao juu ya kuondokewa na kipenzi Chao.

Lakini wakati wa kuupeleka mwili Uwanja wa Taifa kwa ajili ya Ibada ya Kuaga, umati mkubwa wa watu ulioangusha vilio huku wakimwaga maua na kutandika nguo bararani, ilionyesha mapenzi yasiyo na shaka kwa Kiongozi wao.

Baadhi ya Wanasiasa wanaobeba sura ya Upinzani Nchini walionyesha namna walivyopungukiwa na maarifa ya kusoma nyakati na wakalibeba jambo hili kwa chuki zao, husda wao na uzandiki wao binafsi jambo liliwajengea hasara ya kupoteza heshima waliyoijenga kwa miaka mingi.

1. ZITTO KABWE.
Huyu analazimisha kuonyesha watu kuwa yeye ni Mpinzani haswa, ila ameshushu heshima yake kwa kuonyesha furaha hadharani, kwakuwa huyu ni Muislamu ngoja nimkumbushe..

"Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa), ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema
“Msiwatukane maiti. Kwani wameshayaendea yale waliyoyatanguliza.”.
Ameipokea Imaam Ahmad, al-Bukhaariy na an-Nasaa´iy.
Leo Zitto amekiruka na kukikwaa kiunzi cha Imani ni aibu.

2.TUNDU LISSU
Huyu ndio kajiondoa kabisa kwenye mioyo ya Watanzania.. Hata huruma alizowahi kuzipata hatokuja kuzisogelea tena, huyu amegeuza Msiba huu wa Watanzania kuwa karata ya kujiona kuwa ni Mtakatifu na mwenye haki.
Anashinda kukebehi, kuisema na kusherehekea Msiba huu.

Hili kwake ni anguko litakalomuadhibu katika Maisha yake yote ya Siasa.
Huyu ndiye Mpinzani namba moja ambaye thamani yake imeshuka na kupoteza mapenzi ya watu kutokana na husda wake kwa Marehemu, kwa kifupi ni mropokaji wa maandishi na mdomo.

Amekuwa akikebehi na kusherehekea Kifo hiki, lakini ni kwa vile aliokuwa akiwatetea kwenye wizi wa rasilimali zetu nao wanashangilia kwa kuamini kikwazo kimeondoka, (anajidanganya).

UPINZANI WA NCHI YETU SIO MBADALA WA MAISHA YATU KWAKUWA HAUTUONYESHI NJIA ZA UTU.
Inasemwa vilvile kuwa kuna maiti ya Myahudi ilikuwa inapitishwa kwenda mazikoni Mtume wa Mwenyezi Mungu akisimama kama heshima lakini Maswahaba aliokuwa nao wakamkumbusha kuwa yule alikuwa Yahudi na sio Muislam.Mtume wa Allah hakufurahishwa na jambo hilo na akawakumbusha kwamba iliyokufa nayo ni nafsi.
Zito na wale walio kama yeye huenda ikawa wanafikiria kuna faida watakayoipata baada ya Magufuli kufariki dunia kama ambavyo walikuwa wakipata kabla ya Magufuli kuingia madarakani.
Zitto Kabwe na wenzako someni alama za nyakati kutokana na haya maombolezo ya watanzania kwa Magufuli.Sasa hivi hakuna anayewahitaji tena.Umshukuru Al Marhum Seif Sharif Hamad aliyekubali kuingia chama chako hata angalau kuna siku unatajwa kwenye misiba kutoa salaam kwani wenzako hawatajwi popote sasa hivi hata kwenye sherehe za birthday
 
Ulichokiandika hapo juu ni mawazo yako yanapaswa kuheshimiwa.

Ila nikushauri kitu, kama kweli unataka kuhakikisha ulichokiandika hapo juu ni kweli au sio kweli, siku yoyote itisheni uchaguzi huru na wa haki mtapata majibu ya ukweli.

Mwisho, napenda nami kusema kwa Lissu na Lema wanatakiwa sasa kupunguza kelele twitter, wapunguze kumfuatia Kigogo2014 kama ndie mwenyekiti wao, kama mbaya wao ameshaondoka wao warudi nyumbani kuujenga upinzani, kuendelea kumsema marehemu kila siku hata kama aliwafanya vibaya hakuna maana, mwisho wake watachokwa na wastaarabu.

Mbona Mbowe yupo kimya wakati naye aliharibiwa mali zake, Billicanas kuvunjwa, mashamba kuharibiwa, kukoswa risasi Mkwajuni, kuwekwa ndani, kama kweli hao wawili wanataka kuja kuwa warithi wazuri wa Mbowe in the near future, wajifunze kwa discipline aliyonayo Mbowe. Yule ndie kiongozi haswa.

mkuu hata ungekuwa wewe utampenda mtu alietuma watu wakumiminie risasi ufe ? kaanza yeye kudadeki Mungu hataniwi
 
Ala msiabaike na machozi ya watu. Wanaolia wengi ni jamii ya wanawake, kumbekeni Julia kwa mwanamke ni Tania yake maana mwanamke Julia akiwa nafuraha, huzuni, akipigwa, ukimkosea etc,,,hivyo Basi watu wengi wanaotoa machozi pale wanaolia wanakua wa ambukizana tu.
 
We usitaka Lissu awe kaburini sasa unamhusisha nini na msiba huu!! Ongea na aliyetoa hati ya kifo ya TL atakusaidia.
 
Acha kuwawekea maneno mioyoni mwa watu wengine, lisu siku akirudi mtaona watu watakavyokanyagana, kwenye kampeni mliona nyomi hadi mkaamua kuiba kura zote
Moja ya karata mbovu kuwahi kuchangishwa katika Siasa za Upinzani Nchini Tanzania ni kitendo cha Baadhi ya Vyama hivyo kusherehekea na kukebehi Kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dr. John Pombe Magufuli.

Mbaya zaidi walianza kumfanyia husda Marehemu bila kujiridhisha nguvu ya upendo wa Watanzania wa daraja la chini kabisa katika maeneo mbalimbali ya Nchini.

Wakaanza kubeba chuki zao za kisiasa na kizifanya ndizo za Watanzania, bahati mbaya Umma umewaumbua.

Kupitia maoni mbalimbali yaliyorushwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari katika nyakati tofautitofauti yalionyesha namna Wananchi walivyoguswa na Msiba mzito wa Kitaifa na kuonesha masikitiko yao juu ya kuondokewa na kipenzi Chao.

Lakini wakati wa kuupeleka mwili Uwanja wa Taifa kwa ajili ya Ibada ya Kuaga, umati mkubwa wa watu ulioangusha vilio huku wakimwaga maua na kutandika nguo bararani, ilionyesha mapenzi yasiyo na shaka kwa Kiongozi wao.

Baadhi ya Wanasiasa wanaobeba sura ya Upinzani Nchini walionyesha namna walivyopungukiwa na maarifa ya kusoma nyakati na wakalibeba jambo hili kwa chuki zao, husda wao na uzandiki wao binafsi jambo liliwajengea hasara ya kupoteza heshima waliyoijenga kwa miaka mingi.

1. ZITTO KABWE.
Huyu analazimisha kuonyesha watu kuwa yeye ni Mpinzani haswa, ila ameshushu heshima yake kwa kuonyesha furaha hadharani, kwakuwa huyu ni Muislamu ngoja nimkumbushe..

"Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa), ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema
“Msiwatukane maiti. Kwani wameshayaendea yale waliyoyatanguliza.”.
Ameipokea Imaam Ahmad, al-Bukhaariy na an-Nasaa´iy.
Leo Zitto amekiruka na kukikwaa kiunzi cha Imani ni aibu.

2.TUNDU LISSU
Huyu ndio kajiondoa kabisa kwenye mioyo ya Watanzania.. Hata huruma alizowahi kuzipata hatokuja kuzisogelea tena, huyu amegeuza Msiba huu wa Watanzania kuwa karata ya kujiona kuwa ni Mtakatifu na mwenye haki.
Anashinda kukebehi, kuisema na kusherehekea Msiba huu.

Hili kwake ni anguko litakalomuadhibu katika Maisha yake yote ya Siasa.
Huyu ndiye Mpinzani namba moja ambaye thamani yake imeshuka na kupoteza mapenzi ya watu kutokana na husda wake kwa Marehemu, kwa kifupi ni mropokaji wa maandishi na mdomo.

Amekuwa akikebehi na kusherehekea Kifo hiki, lakini ni kwa vile aliokuwa akiwatetea kwenye wizi wa rasilimali zetu nao wanashangilia kwa kuamini kikwazo kimeondoka, (anajidanganya).

UPINZANI WA NCHI YETU SIO MBADALA WA MAISHA YATU KWAKUWA HAUTUONYESHI NJIA ZA UTU.
 
kiukweli sio kila aliyeenda kuaga alikua anampenda mmniienda kuhakikisha kweli kafa na km ingeluhusiwa mtu atoe ya moyoni kwa vitendo kuna aidha watu kadhaa wangemtemea hata mate wengine kumchoma na vijiti wengine kumbonda na mawe kwangu mm alikua full dictate
 
Moja ya karata mbovu kuwahi kuchangishwa katika Siasa za Upinzani Nchini Tanzania ni kitendo cha Baadhi ya Vyama hivyo kusherehekea na kukebehi Kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dr. John Pombe Magufuli.

Mbaya zaidi walianza kumfanyia husda Marehemu bila kujiridhisha nguvu ya upendo wa Watanzania wa daraja la chini kabisa katika maeneo mbalimbali ya Nchini.

Wakaanza kubeba chuki zao za kisiasa na kizifanya ndizo za Watanzania, bahati mbaya Umma umewaumbua.

Kupitia maoni mbalimbali yaliyorushwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari katika nyakati tofautitofauti yalionyesha namna Wananchi walivyoguswa na Msiba mzito wa Kitaifa na kuonesha masikitiko yao juu ya kuondokewa na kipenzi Chao.

Lakini wakati wa kuupeleka mwili Uwanja wa Taifa kwa ajili ya Ibada ya Kuaga, umati mkubwa wa watu ulioangusha vilio huku wakimwaga maua na kutandika nguo bararani, ilionyesha mapenzi yasiyo na shaka kwa Kiongozi wao.

Baadhi ya Wanasiasa wanaobeba sura ya Upinzani Nchini walionyesha namna walivyopungukiwa na maarifa ya kusoma nyakati na wakalibeba jambo hili kwa chuki zao, husda wao na uzandiki wao binafsi jambo liliwajengea hasara ya kupoteza heshima waliyoijenga kwa miaka mingi.

1. ZITTO KABWE.
Huyu analazimisha kuonyesha watu kuwa yeye ni Mpinzani haswa, ila ameshushu heshima yake kwa kuonyesha furaha hadharani, kwakuwa huyu ni Muislamu ngoja nimkumbushe..

"Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa), ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema
“Msiwatukane maiti. Kwani wameshayaendea yale waliyoyatanguliza.”.
Ameipokea Imaam Ahmad, al-Bukhaariy na an-Nasaa´iy.
Leo Zitto amekiruka na kukikwaa kiunzi cha Imani ni aibu.

2.TUNDU LISSU
Huyu ndio kajiondoa kabisa kwenye mioyo ya Watanzania.. Hata huruma alizowahi kuzipata hatokuja kuzisogelea tena, huyu amegeuza Msiba huu wa Watanzania kuwa karata ya kujiona kuwa ni Mtakatifu na mwenye haki.
Anashinda kukebehi, kuisema na kusherehekea Msiba huu.

Hili kwake ni anguko litakalomuadhibu katika Maisha yake yote ya Siasa.
Huyu ndiye Mpinzani namba moja ambaye thamani yake imeshuka na kupoteza mapenzi ya watu kutokana na husda wake kwa Marehemu, kwa kifupi ni mropokaji wa maandishi na mdomo.

Amekuwa akikebehi na kusherehekea Kifo hiki, lakini ni kwa vile aliokuwa akiwatetea kwenye wizi wa rasilimali zetu nao wanashangilia kwa kuamini kikwazo kimeondoka, (anajidanganya).

UPINZANI WA NCHI YETU SIO MBADALA WA MAISHA YATU KWAKUWA HAUTUONYESHI NJIA ZA UTU.
Kitu gani hakifai? Kwanini watu mnakuwa wanafiki? Hujui kuna vitu ni voluntary na involuntary? Hisia siyo voluntary.

By the way marehemu mwenyewe ndio mkandarasi ya hiyo barabara ya chuki. Amechonga yeye, acha asafirie kwenye hiyo barabara.
 
Back
Top Bottom