mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
Mbona wewe ni Mkenya lakini kila siku unafatilia mambo ya Tanzania? This is International forum. Maswala ya Tanzania tuachie watanzania wenyewe. Nilishakuambia hata ukitoa machozi ya damu, huwezi kuubadili utanzania wangu. Mimi hata mpakani mwa rwanda sijui pakoje. Sikutegemea kama ipo siku kanchi kadogo kama rwanda katamwambia Rais wetu kata m hit.
Kagame amepitia hapa bongo tumembebabeba leo hii unaona hata hao wazee wa jenosaidi wanaongea kiswahili fresh lakini dharau mtindo mmoja. Hii inaonyesha wamekaa sana Tanzania na mpaka sasa inawezekana wamo humu Tanzania. Kwa maana hiyo ndo maana tunawapigilia msumali. Kwenye issue za siasa za TZ mi nafatilia sana. nimejoin groups kwenye social networks kama kwenye whatsap kuhusu siasa, kwenye facebook, twiter, wale tuliosoma chuo kimoja, nk.
Rais kabila na marehemu baba yake tumewapa hifadhi hapa bongo. Sisi ni watu wazuri sana
we mwenyewe umelelewa na watanzania, lakini leo hii unashikamana na hao wauaji. Bwe.ge kweli wewe.
Hivi chuo gani ulichosoma? Au unamaanisha madrasa? Umeulizwa swali lakini bado tu umeshindwa kujibu.
Swala sio mchango wenu kwa jamii ya kinyarwanda bali inakuwaje mnajali sana Rwanda hadi mnasahau home/ukimbizini(Tanzania)? Au siku hizi ni paradise? 24hrs nyie ni Rwanda tu, kama mnataka kuzuga, muwe mnapitapita na kwenye jukwaa la siasa, hata mimi mnyarwanda huwa napita pita; sema sikoment, nawaachia wabongo washughulishane! saa nyingine nashindwa kuamini vinavyoandikwa, kama una akili kweli na unajua X-stics za failed state basi soma jukwaa la siasa ndio utajuwa kweli Rwanda yenu haina kifani.
By the way, nasuburi yale matusi yako.