kitendawili

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Ni wimbo gani wa Shaba ranks ambao Umepata umaarufu tena Hapa Dar?
 
ndo nini sasa mbona haiusiani na jukwaa hili.......
 
wanaume tumeumbwa mateso, pita sana wanapojenga magorofa. ulimtoa sana shaba.
 
ndo nini sasa mbona haiusiani na jukwaa hili.......

Ni kweli kabisa unajua mi mgeni huku halafu gari imezingua taa haziwaki na mitaa yote ya mji huu ni giza nene nasikia kuna mgao,
Nimepotea njia Nilikuwa naelekea Chit Chat
 
Ni kweli kabisa unajua mi mgeni huku halafu gari imezingua taa haziwaki na mitaa yote ya mji huu ni giza nene nasikia kuna mgao,
Nimepotea njia Nilikuwa naelekea Chit Chat

ha! ha! ha! ha! ha! ha!
haya mkuu!!!!
 
Hata namjua basi huyo shaba..πŸ˜‰πŸ˜‰

Kwa wewe kutomjua sikushangai , najua ni kiswahili kwa mbaali ndiyo kinakumix! Ngoja nikutransleshie kwenye lilugha ulilolizoea !
Mr. Shaba Ranks
It means :
Mr. Coper Grades
 
Kwa wewe kutomjua sikushangai , najua ni kiswahili kwa mbaali ndiyo kinakumix! Ngoja nikutransleshie kwenye lilugha ulilolizoea !
Mr. Shaba Ranks
It means :
Mr. Coper Grades

Hahahaaaaa Duuuuu....!perfect translation..!
 
Mbona simple sana inaonekana ulikuwa kilaza sana unaitwa. "KIBANGA AMPIGA MKOLONI" Umeelewa sasa!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…