rashidymdoe
Member
- May 16, 2017
- 79
- 45
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiwe au kichaa ndio majibu hayo
naongeza dau mkuu 50000Mtu akipatia kwa majina ya kweli matatu namtumia laki(100000)
Usisahau kuweka na no ya Simu kwa ajili ya kukurushia hela yako
Wenye IQ kubwa waje wategue kitendawili hichi kigumu.
naongeza dau mkuu 50000
Hahaha we jamaa mse.nge sanaMtu akipatia kwa majina ya kweli matatu namtumia laki(100000)
Usisahau kuweka na no ya Simu kwa ajili ya kukurushia hela yako
Wenye IQ kubwa waje wategue kitendawili hichi kigumu.
Wanatakiwa kurudisha VYETI VYA UFUNDI haraka, hawana vigezo vya kubaki na vyeti bila itikadi/utendaji kazi.[emoji18]wachawi wa Tz wote niwababaishaji, wangesha tuondolea hii fungus