GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,806
- 128,350
Hikija kamilika, swali liko wapi tutegue??
Daudi BashiteTulipovuka, tukasema usiku na mchana, tukakashifu, tukamchafua, akatupuuza, akasafiri, anatusikilizia huko alipo na sasa wote tumenyamazishwa huku upepo ukielekea kupoa na atarudi kuendelea na ujengaji wa jiji la Wanafiki.
Tegueni kitendawili changu tafadhali.