shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,767
- 5,130
Kwa kweli ninasikitika sana ninapotizama siasa ya nchi hii.
Wizi unapewa Baraka zote na mwenye haki harusiwi kuhoji.
Wameiba hela,kura lkn bado wanalindwa na katiba. Ni Aibu tupu
Pamoja na uwozo wote unao fanywa na wanasiasa hasa waliopo madalakani, bado wapo watu wanayafumbia macho as if nothing happened. Wanashabikia uozo huo na wengine wanataka waandamane.
Yaani inauma sana.
Hivi tunaacha kumbukumbu gani kama vizazi vinavyo kuja?
Kama ya kina mashujaa chief Mkwawa?