KITENDAWILI MBEYA UNIVERSITY

mr wilehard

Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
49
Reaction score
23

Taarifa iliyoambatana na majina ya waliochaguliwa kujiunga kwa udhamini wa serikali ilibainisha kuwa tar 18 chuo kinafunguliwa kwa masomo ya diploma ila hadi hivi sasa majina ya private sponsored students hayajatolewa huku website ya chuo ikiwa haifunguki kwa takeibani siku tano sasa.

Taarifa iliyotolewa kwenye majina ya waliofanikisha maombi ilisema majina ya waliochaguliwa yatatoka mapema mwezi wa Tisa

waombaji wanomba kwa yoyote mwenye taarifa kuhusu yanayoendelea MUST awajulishe.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…