LILENDI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 1,400
- 497
inawezekana akawa na msaada sana, lakini jamii inayonizunguka kwa kweli ndugu, marafiki katika hali ya uditective nilijaribu kuleta mada mezani lakini kwa kweli nilipingwa vikali na kujiona kama nimekosa vile.. That's why imekua kitendawili kwangu
hao marafiki ndo wakaoishi na mkeo? acha kuishi maisha ya wengine. your friends are inconsiderate. moyo wako unakutaka umwache au endelee nae? nipe jibu plse?