Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,474
- 3,544
Mpaka awe mke itabidi aushinde huo mtihani wa kumgeuza kijana mwenzie waliyekutana lamini kama ATM, akifanikiwa hata sana kwenye ndoa hamnaga excuse ya kugharamia japo naye shida ndogo ndogo aoneshe ushirikiano, golikipa ni enzi za kambarage world change you have to adopt the changes ukishindwa ukafuata mkumbo wa mashoga saluni kibuti kinahusu kama first aid kwa sababu matibabu cost much more than kibutiUkichagua mwenye alikudangia, ukapumbazwa na msabwada au maumbile ya nje usitegemee akaacha kuwadangia wengine
Kuwa makini unapotafuta mke ili umpate wa kufanana nae
Kumtunza amekuwa bustani au kuku au mbuzi, wanawake mbona mnakuwa Mazuzu so with this ur half human sio? Ni aibu sana you act equal you think half human?Usilalamike tafuta pesa
Moja ya Fahari kubwa ya mwanaume ni kumtunza mwanamke wake
Sawa sawaNaona watu wanachanganya kujibu, ku date maana yake huyo siyo mkeo, hivyo mnaweza kuelewana bei mkamalizana.
Kutunza mke ni wajibu wa mumewe, kama ni mama wa nyumbani unategemea awe na vocha ya simu toka kwa nani? Lazima utimize mahitaji ya nyumbani na mahitaji binafsi ya mkeo hakuna wa kumpa vocha zaidi yako.
Tall dark handsome zinataka bure. Zinasahau mwanamke tangu aumbwe Ni mpokeaji.[emoji134][emoji134][emoji1787]
Tafuta pesa mwanetu Mnyiramba upunguze makasirikoNchi hii ili mwanaume uonekane wa maana eti fanya kazi kwa bidii ili uwahudumie wanawake masikini!
Fikiria unatoka na mwanamke ambaye hana uwezo wa kujinunulia bando!
Nasoma comments 😎Tall dark handsome zinataka bure. Zinasahau mwanamke tangu aumbwe Ni mpokeaji.
Huo ndo ukweliTofautisha malaya na decent women, inaonekana umezoea malaya wake ndo unakubaliana nao Bei baada ya ku-do ndo imeisha hiyo mwanamke wa Kawaida mko kwenye mahusiano na hata kama sio mke wako lazima uhudumie hilo haliepukiki
Sawa Bado kuisoma namba 😁Nasoma comments 😎
Anakuja piga watu zauso huku [emoji16][emoji16][emoji16][Mtu kasha vurugwa uko.
Uzi ufungwe[emoji16][emoji724]!!Pisi ziko nyingi san mkuu, ukiona inaomba hela tafuta zipo nyingi sana ambazo haziombi hela.
Una njaa na pisi ina njaa makasiriko hayaepukiki.
Dada umeamua kabisa kujichetuaBasi waachie wenzio wanaopenda kutunza kwa kila kitu
Kuna wanaume jamani huwezi Kula, kulala, kuvaa asichogharamia yeye, hata ukimpigia simu anakuuliza lile bundle imebaki kiasi gani nikuongeze!?
Kwa kweli Mungu awabariki sana mzidi kufanikiwa kwenye utafutaji wenu
Acha kujidanganya hio mentality ndio inayowaponza mkianza kunyanyaswa mnakimbilia dawati la jinsia kumbe mmejirahisisha, nachelea kuamini kwamba na wewe upo kwenye kundi hiloUsilalamike tafuta pesa
Moja ya Fahari kubwa ya mwanaume ni kumtunza mwanamke wake
Haya mawazo ya watu wa nchi za dunia 3Usilalamike tafuta pesa
Moja ya Fahari kubwa ya mwanaume ni kumtunza mwanamke wake
Hizi baraka naona wengi wamezipokea......Basi waachie wenzio wanaopenda kutunza kwa kila kitu
Kuna wanaume jamani huwezi Kula, kulala, kuvaa asichogharamia yeye, hata ukimpigia simu anakuuliza lile bundle imebaki kiasi gani nikuongeze!?
Kwa kweli Mungu awabariki sana mzidi kufanikiwa kwenye utafutaji wenu