baba aura
JF-Expert Member
- Aug 5, 2023
- 254
- 393
Ni awamu na awamu zimepita sasa na wabunge kadhaa kwa awamu tofauti ili wameshidwa kutegua kkitendawili cha g28.
Hapa karibuni kulikuwa na uchaguzi mdogo wa ubunge na tayari amepatikana ,Ahadi mojawapo alieitoa ni kushughurikia suala la G28 Mara tu aingiapo bungeni.
Haya mh.Bahati ndingo pamoja na changamoto kutoka kwa wagombea wenza hasa Kilufi lakini umefanikiwa kipita na ulisema ukiingia tu bungeni ni mwendo wa kutegua kitandawili cha G28.
By mwana mbarali