Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,480
- 867,245
Shurti uchague kikunio kizuri kikali na chenye rangi za mvuto
Angalia vipakatizi vile safi laini na vyenye kunukia
Kuna kwa nafac chagua eneo zuri lenye upepo mwanana na utulivu. Usiwe na papara kaa umeingia choo cha city
Chutama kwa pozi na staha za kikwenu, usikae kaa umebanwa na tumbo la kuhara
Mikono yako ikune kwa pozi la kweli peleka kushoto taratibu, peleka kulia peleka juu peleka chini kita nyuma mbele ili uweze kupata chicha laini lisilo na mabonge
Umalizapo kukuna safisha mazungira yako kikunio chako kiswafi kakitunze mahali pema Nenda kaandae tui lako
Tutaendelea kesho...........