Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,683
zaidi ya jando?[emoji23] [emoji23] [emoji23] imebidi nicheke
Lakini mbona wapo makungwi wa bwana harusi?? Sjui kwa mila na makabila mengine lakini najua bwana harusi naye anakua na kungwi wake pia
Kama ambavyo mwanamke anafundishwa the way kuishi na mume nahisi na yeye mwanaume hufundishwa the same na mengineyo ambayo yanahusu ndoazaidi ya jando?
Kama mafundisho ndio hayo hata akiwa Na dereva wa bodaboda, fundi majiko, Na mpemba muuza genge nitavumilia maana ndicho alichofundishwa akafanye kwenye ndoa yakeUnataka uwe unamkosoa mkeo asipofuata aliyofundwa? utavumilia kweli pale atakapoambiwa figa moja haliinjiki sufuria? Mafiga shurt yawe matatu mwaya..... naona unataka ufe kwa presha kabla ya harusi wewe!

ndoa ni ya wawili, wanaoongezeka ni waharibifu muda woteSijawahi kuona +ve effects ya kitchen party.
Hao makungwi wengi wao hawapo katika ndoa
Wanaofanyiwa hivyo bado wana michepuko nje.
Wanaofundwa bado hawaridhiki na waume zao.
Ndoa za waliofundwa hazidumu na ni bora ya ambao hawajafundwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndoa ni ya wawili, wanaoongezeka ni waharibifu muda wote
well saidShuleni siku zote lengo ni kufundisha mazuri. Kama kuna walimu watakuwa wanafundisha Utumbo basi ndiyo wenye makosa ila lengo la shule lipo palepale.